• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Msumbiji, Nigeria zaiomba China kusaidia kilimo cha mpunga 2019-07-19

    Nchi za Msumbiji na Nigeria zimeiomba China kuzisaidia katika mbinu za kuboresha kilimo cha mpunga kwa ajili ya kuongeza uzalishaji na kuokoa gharama za kuagiza chakula hicho nje ya nchi.

    • Hiki ndicho Afrika inaweza kujifunza kutoka China katika kuondoa umasikini vijijini 2019-05-24

    Katika juhudi zake za kuendelea kupambana na umasikini hasa katika maeneo ya vijijini, nchi zinazoendea ikiwemo, Tanzania zinaweza kuiga jitihada mbalimbali zilizochukuliwa na zinazoendelea kufanywa na jimbo la Shaanxi nchini China hasa katika kukuza kilimo na sekta ya utalii.

    • Hiki ndicho Afrika inaweza kujifunza kutoka China katika kuondoa umasikini vijijini 2019-05-23

    Katika juhudi zake za kuendelea kupambana na umasikini hasa katika maeneo ya vijijini, nchi zinazoendea ikiwemo, Tanzania zinaweza kuiga jitihada mbalimbali zilizochukuliwa na zinazoendelea kufanywa na jimbo la Shaanxi nchini China hasa katika kukuza kilimo na sekta ya utalii.

    • Deo Kamagi atembelea kituo cha utamaduni wa China katika Xinghan, jimbo la Shaanxi 2019-05-20
    • Rais Xi Jinping ataja fursa zilizotokana na utekelezwaji wa wazo la Ukanda mmoja Njia moja 2019-04-26

    Rais wa China Xi Jinping amesema jitihada za pamoja za telekezaji mbalimbali katika kukuza uwekezaji na biashara za kimataifa.

    • Rais Xi Jinping ataja fursa zilizotokana na utekelezwaji wa wazo la Ukanda mmoja Njia moja 2019-04-26

    Rais wa China Xi Jinping amesema jitihada za pamoja za telekezaji mbalimbali katika kukuza uwekezaji na biashara za kimataifa. Juhudi hizo pia zimeelezwa kuchangiza hatua mabalimbali ambazo zimekua zikichukuliwa katika kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja katika mataifa yote.

    • Mji wa Sanya wapanga kuanza kushirikiana na miji mbalimbali ya Afrika 2019-03-27

    MJI wa Sanya ambao ni maarufu kwa utalii uliopo kusini mwa china katika kisiwa cha hainan umesema unampango wa kuanzisha mashirikiano katika nyanja mbalimbali na miji ya barani Afrika.

    • Mji wa Sanya wapanga kuanza kushirikiana na miji mbalimbali ya Afrika 2019-03-26

    MJI wa Sanya ambao ni maarufu kwa utalii uliopo kusini mwa china katika kisiwa cha hainan umesema unampango wa kuanzisha mashirikiano katika nyanja mbalimbali na miji ya barani Afrika.

    • China yaeleza matumaini ya muafaka katika mgogoro wake wa kibiashara na Marekani 2019-03-15
    Serikali ya China imeelezea kuwa changamoto zilizojitokeza katika biashara baina yake na Marekani haziwezi kuathiri mahusiano ya kibiashara na mataifa mengine.
    • CHINA: Hatuna mpango wa kuitawala Afrika 2019-03-08

    China imefafanua kwamba haina lengo la kuzitawala nchi za Afrika kupitia misaada ambayo imekua ikiitoa, bali kuzisaidia nchi zinazoendelea katika kuinua pato la taifa pamoja na kuondokana na umasikini.

    • Deogratius Kamagi 2019-03-05
    • Namna China ilivyojidhatiti kuboresha uchumi katika mwaka 2019 2019-03-05

    SERIKALI ya China, Jumanne iliwasilisha mswada wa wa bajeti na ripoti ya kazi inazotarajia kuzifanya mwaka 2019 huku ikiweka vipaumbele katika ukukuza uchumi, biashara ajira, kujenga miundombinu pamoja na kuendeleza ushiriakno wa kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako