Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Makampuni ya mkoa wa Jilin nchini China yatilia maanani fursa ya kuwekeza na kujiendeleza barani Afrika
  •  2008/10/24
    Maonesho ya nne ya biashara na uwekezaji ya Asia Kaskazini Mashariki hivi karibuni yalifungwa mjini Changchun, mkoani Jilin nchini China, pamoja na mkutano wa baraza la kuwekeza barani Afrika kwa makampuni ya Jilin uliohudhuriwa na maofisa wa serikali ya mkoa wa Jilin, wajumbe wa makampuni na mabalozi wa Afrika nchini China. Mwandishi wetu wa habari aliona kuwa, makampuni ya mkoa wa Jilin yanatilia maanani fursa ya kuwekeza na kujiendeleza barani Afrika na makampuni hayo yanafanya juhudi kupanua soko lao barani Afrika.
  • Makampuni ya China yaliyopo nchi za nje yapaswa kushukuru jamii za huko
  •  2008/10/05
    Mkuu wa shirikisho la biashara ya mradi wa ukandarasi kwa nchi za nje la China Bw. Diao Chunhe hivi karibuni huko Algiers alisema shughuli za miradi ya ukandarasi za China kwa nchi za nje ziliendelea kwa kasi lakini makampuni ya China yalipoendelea kwenye nchi za nje yanapaswa kushukuru jamii za huko ili kujiendeleza na kupata manufaa pamoja na wananchi wa huko.
  • Wataalamu wa kilimo wa China waona kuwa uwekezaji kwenye kilimo cha Afrika unapaswa kufuata utaratibu kamili
  •  2008/07/04
    Naibu mkurugenzi wa zamani wa Kampuni ya kuendeleza mashamba ya China Bw. Han Xiangshan, hivi karibuni alisema makampuni ya China yanatakiwa kuwekeza kwa wingi zaidi kwenye shughuli za kilimo barani Afrika, na kuanzisha mashamba makubwa yenye uzalishaji wa kiwango cha juu.
  • China, Afrika na Ulaya zajadili ushirikiano kwa Afrika kwenye hali ya utandawazi wa dunia
  •  2008/05/30
    Kongamano la kimataifa kuhusu ushirikiano na Afrika kwenye hali ya utandawazi wa uchumi duniani lilifanyika hapa Beijing hivi karibuni. Kongamano hilo liliendeshwa na shirika la mawasiliano ya kimataifa la China na Mfuko wa Friedrich Ebert Foundation wa Ujerumani, ambapo wataalamu, wasomi, wajumbe karibu 100 wa mashirika yasiyo ya kiserikali na makampuni kutoka China
  • Kampuni ya Tasly ya China yajiendeleza barani Afrika na kuenzi dawa za China zenye sifa nzuri
  •  2008/05/09
    Kampuni ya dawa ya Tasly ya Tianjin, China na Idara ya usalama wa afya ya umma ya serikali ya mji wa Johannesburg, Afrika kusini na Kamati ya utaalamu wa dawa za asili ya Afrika Kusini hivi karibuni ziliitisha kongamano la kwanza kuhusu "dawa za mitishamba za kichina zaingia barani Afrika",
  • Wazimbabwe wengi zaidi wataelewa utamaduni wa China
  •  2008/04/11
    Mkurugenzi wa chuo cha Confucius cha chuo kikuu cha Zimbabwe ambaye pia ni mkurugenzi wa chuo cha fasihi cha chuo kikuu hicho Bw. Pedzisai Mashiri, hivi karibuni alipohojiwa na mwandishi wa habari wa shirika la habari la China, Xinhua alisema, ana matumaini kuwa wazimbabwe wengi zaidi wanaweza kukifahamu chuo cha Confucius
  • Wachina wengi wanapenda kwenda kutalii barani Afrika
  •  2008/03/28
    Katika miaka ya hivi karibuni, uchumi wa Afrika umekuwa ukipata maendeleo makubwa, na migogoro barani Afrika pia inatatuliwa hatua kwa hatua, na nchi nyingi barani Afrika zinachukua hatua za kutangaza vivutio vya utalii kuwa moja ya njia muhimu ya kupata maendeleo endelevu ya uchumi
  • Botswana yataka kuimarisha ushirikiano kati yake na China katika sekta za uchumi, biashara na utamaduni
  •  2008/03/14
    Balozi wa Botswana nchini China hivi karibuni alipohojiwa na mwandishi wa habari wa shirika la habari la China?Xinhua, alisema, Botswana inataka kuimarisha ushirikiano kati yake na China katika sekta za uchumi na biashara.
  • Utamaduni wa makabila mbalimbali ya China waleta mfano wa masikilizano
  •  2008/03/07
    Balozi wa Eritrea nchini China Bw. Tseggai Tesfatsion alipohojiwa na waandishi wa habari hivi karibuni alisema, anasifu utamaduni wa makabila mbalimbali ya China na maoni ya wananchi wa China kuhusu kujenga jamii yenye masikilizano.
  • Makampuni ya China yashiriki kwenye ujenzi wa uchumi wa Nigeria
  •  2008/02/22
    Katika miaka ya hivi karibuni, makampuni ya China iliyamekuwa yanashiriki kwenye ujenzi wa uchumi wa Nigeria, miradi ya ujenzi iliyojengwa na makampuni ya China inaendelea vizuri na kutoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya uchumi na jamii ya Nigeria
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11