|
|
Opera ya Kibeijing Siyo "Sanaa ya Machwea" 2005/04/29 Opera ya Kibeijing yenye historia ya zaidi ya miaka 150, inapendwa sana na mashabiki wake. Kwa kuwa ina usanii wa kiwango cha juu, na inachezwa kote nchini, inachukua nafasi ya kwanza miongoni mwa aina 300 za opera ya China, ndiyo maana imepewa hadhi ya "Opera ya Taifa".
| Gwiji wa Opera ya Kibeijing Mei Langfang 2004/12/31 Bw. Mei Lanfang ni gwiji wa opera ya Kibeijing. Asili yake ni Taizhou, Jimbo la Jiangsu. Alizaliwa tarehe 22 Oktoba, 1894 katika ukoo wa wachezaji wa opera ya Kibeijing jijini Beijing. Alianza kujifunza uchezaji huo tangu alipokuwa na umri wa miaka 8, na kuanza kutumbuiza jukwaani akiwa na umri wa miaka 11. Alicheza opera ua Kibeijing kwa zadi ya miaka 50 kabla hajaaga dunia mwaka 1961. Mei Lanfang alipewa heshima kubwa na upendo wa dhati kutoka kwa wananchi.
| Opera ya Dixi ya Guizhou 2004/10/14 Katika vijiji vyenye majina ya "tun, bu, qi, ying, guan, shao na chang", vilivyoko ndani ya eneo la mamia ya kilomita za mraba linalozunguka Mji wa Anshun, jimboni Guizhou, kunaishi aina pekee zote za matamshi ya lugha, mila na desturi, mavazi na ufuataji wa dini, watu hawa wanatofautiana na Wahan na watu wa makabila mengine madogo wa huko.
| Mrithi wa Sanaa ya Mchezo wa Kivuli 2004/09/24
| Michezo ya nyimbo na ngoma ya China (3) 2004/09/22 Mwishoni mwa miaka ya 50, michezo ya nyimbo ya China iliendelezwa katika kipindi chake kizuri, ambapo michezo mingi zaidi ilitungwa, na sifa yao ya kisanaa pia ni ya juu sana
| Michezo ya nyimbo na ngoma ya China (2) 2004/09/22 Mageuzi na ufunguaji mlango wazi kwa nchi za nje yaliyoanzishwa mwishoni mwa miaka ya 70 nchini China, yaliifanya michezo ya ngoma ya China iendelezwe vizuri kuliko vipindi vingine vya hapo awali
| Michezo ya ngoma na nyimbo ya China (1) 2004/09/21 Michezo ya ngoma na nyimbo ya China iliyosimulia hadithi kamili ilianzia karne ya 13. Hivi leo kuna aina zaidi ya 300 za michezo ya sehemu mbalimbali nchini China, na Opera ya kibeijing inajulikana kama "Opera ya nchi" inayokusanya sifa nzuri za michezo ya sehemu mbalimbali . Lakini Opera ya kibeijing ni Opera ya kibeijing tu, wachina wanaona kwamba, michezo ya nyimbo na ya ngoma inatofautiana sana na Opera ya kibeijing. Ni kuanzia karne hii tu ndipo wachina walipojua opera ya nyimbo na ngoma ya zama za karibu za Italia
| Opera ya Beijing 2004/09/16 Opera ya Beijing ni azizi ya utamaduni wa taifa la China, pia ni hazina ya bohari la utamaduni wa binadamu. Ina maudhui mengi, fani kamilifu na ustadi mkubwa, inamithilisha vizuri wazo la Wachina kuhusu sanaa.
| |
|
|