|
|
Mapishi ya nyama ya nguruwe na vipande vya pilipili mboga 2008/03/19 Mahitaji: Nyama ya nguruwe gramu 370, pilipili mboga gramu 70, mafuta gramu 25, sosi ya pilipili hoho gramu 10, mchuzi wa sosi gramu 10, mvinyo wa kupikia gramu 10, sukari gramu 5, vitunguu maji gramu 5, chembechembe za kukoleza ladha gramu 3. | Mapishi ya nyama ya bata 2008/03/12 Mahitaji: Nusu ya bata mmoja, vitunguu maji gramu 5, tangawizi gramu 5,mvinyo wa kupikia vijiko viwili, mchuzi wa sosi vijiko viwili, chumvi kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, pilipili hoho gramu 2 | Mapishi ya nyama ya ng'ombe na mizizi ya mianzi 2008/03/05 Mahitaji: Nyama ya ng'ombe gramu 200, uyoga gramu 20, figili gramu 15, mizizi ya mianzi gramu 15, pilipili hoho gramu 10, puilipili mboga gramu 10, sosi ya pilipili hoho gramu 5, vitunguu maji gram 5, vitunguu saumu gramu 5, chumvi kijiko kimoja, chembechembe za kukoleza ladha nusu ya kijiko kimoja, unga wa pilipili manga nusu ya kijiko. | Mapishi ya uyoga mweupe na nyama ya nguruwe 2008/02/27 Mahitaji :Uyoga mweupe gramu 300, vipande vya vitunguu maji gramu 2, tangawizi gramu 2, sukari gramu 10, mchuzi wa sosi vijiko viwili, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja | Mapishi ya vipande vya vitu vitatu 2008/02/20 Mahitaji: Nyama iliyosagwa gramu 100, mboga gramu 50, pilipili hoho moja, pilipili mboga moja, mafuta ya ufuta vijiko viwili, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja, chumvi kijiko kimoja | Mapishi ya vipande vya nyama ya nguruwe 2008/02/13 Mahitaji Nyama ya nguruwe gramu 200, mayai manne, M.S.G gramu 2, mvinyo wa kupikia gramu 30, wanga gramu 30, chumvi gramu 5, mafuta ya ufuta gramu 100, chumvi iliyochanganywa na pilipili kima, mafuta gramu 500. | Mapishi ya kupika kamba 2008/02/13 Mahitaji: Kamba gramu 500, mvinyo wa kupikia gramu 25, siki gramu 10, chumvi gramu 5, sukari gramu 30, mafuta ya ufute gramu 25, mafuta gramu 100, vitunguu saumu, vitunguu maji na tangawizi kila gramu 10. | Mapishi ya samaki ya Lu yenye ladha ya sukari na pilipili hoho 2008/02/05 Samaki mmoja, kitunguu moja, pilipili hoho moja, pilipili mboga moja, sosi yenye ladha ya sukari na wanga ya pilipili hoho vijiko viwili, wanga kijiko moja, chumvi nusu kijiko, pilipili manga 1/3 kijiko, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, na mafuta gramu 300. | Mapishi ya choroko ndefu tamu na kamba-mwakaje 2008/01/30 Mahitaji: Choroko ndefu tamu gramu 200, kamba-mwakaje gramu 50, pilipili hoho gramu 5, vitunguu maji na vitunguu saumu kila kimoja gramu 5, chumvi gramu 2, chembechembe za kukoleza ladha gramu 2, sosi ya mchuzi gramu 2, maji ya wanga gramu 5 | Mapishi ya nyama ya bata na bia 2008/01/23 Mahitaji: Nyama ya bata gramu 500, pilipili hoho gramu 5, tangawizi gramu 10, vitunguu saumu gramu 5, bia chupa moja, chumvi gramu 8, sukari gramu 6, mchuzi wa sosi gramu 10, mafuta gramu 70, pilipili manga gramu 5, wanga gramu 5. | 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19
|
|