|
|
Mapishi ya vipande vya nyama ya nguruwe vilivyopikwa pamoja na chumvi na pilipili manga 2005/06/29 Mahitaji Vipande vya nyama ya nguruwe gramu 300, mvinyo wa kupikia gramu 2, wanga gramu 30, sukari gramu 25, siki gramu 15, chumvi gramu 5, pilipili manga gramu 20, mafuta gramu 500, mchuzi wa soya gramu 25 | Samaki utepe mwenye ladha ya siki na sukari 2005/06/22 Mahitaji Samaki utepe gramu 500, vipande vya vitunguu maji, vitunguu saumu na tangawizi kila moja gramu 20, mchuzi wa soya vijiko 2, siki vijiko 2, mvinyo wa kupikia kijiko 1, sukari kijiko 1, mafuta gramu 500, mafuta ya ufuta kijiko kimoja | Mapishi ya vipande vya nyama ya kondoo na vitunguu maji 2005/06/15 Mahitaji Nyama ya paja la kondoo gramu 200, vitunguu maji gramu 200, mchuzi wa soya gramu 50, mvinyo wa kupikia gramu 20, mafuta gramu 50, kiasi kidogo cha vitunguu saumu, pilipili manga, chumvi, siki, wanga na mafuta ya ufuta. | Mapishi ya Mapo doufu 2005/06/08 Mahitaji Doufu gramu 400, nyama ya ng'ombe ya kusagwa gramu 200, kiasi kidogo cha vipande vya vitunguu maji, tangawizi, vitunguu saumu, sosi ya pilipili, pilipili manga, chumvi, mchuzi wa soya, maji ya wanga, sukari na mafuta. | Kupika nyama ya ng'ombe pamoja na asparaga 2005/06/01 Mahitaji Nyama ya ng'ombe gramu 200, asparaga gramu 150, mvinyo wa kupikia gramu 20, kiasi kidogo cha sukari, chumvi, mchuzi wa sosi, M.S.G, unga la hamira, pilipili manga, maji ya wanga, vipande vya vitunguu maji, na tangawizi, mafuta gramu 500. | Mapishi ya vipande vya nyama ya kuku pamoja na figili 2005/05/25 Mahitaji Figili gramu 250, nyama ya kuku gramu 100, kiasi kidogo cha mafuta, vitunguu saumu, chumvi, siki, sukari, M.S.G, pilipili hoho, na wanga. | Kuchemsha minofu ya nyama ya ng'ombe pamoja na papai 2005/05/18 Mahitaji Papai moja, minofu ya nyama ya ng'ombe gramu 200, yai moja lililokorogwa, kiasi kidogo cha vipande vya vitunguu saumu, pilipili, mchuzi wa chaza, chumvi, unga wa mahindi na mvinyo wa mchele, maji bakuli mbili. | Kupika vipande vya kuku pamoja na pilipili hoho 2005/05/11 Mahitaji Nyama ya kidari cha kuku gramu 300, tango moja, kitunguu saumu gramu 5, unga wa tangawizi gramu 10, vipande vya vitunguu maji gramu 10, pilipili hoho gramu 15, mchuzi wa soya gramu 20, chumvi gramu 3, mvinyo wa kupikia gramu 10, siki gramu 5, ute wa yai gramu 15, supu ya kuku gramu 25, mafuta yaliyokwisha chemshwa gramu 50. | Mzizi wa yungiyungi wenye ladha ya asali uiliowekwa mchele yake 2005/04/27 Mahitaji Mzizi wa yungiyungi, mchele gramu 150, sukari gulu gramu 150, asali gramu 50, maji ya wanga gramu 2, mafuta gramu 40. | Upikaji wa bilinganya kwa sosi tamu 2005/04/20 Mahitaji Biliganya gramu 500, mafuta gramu 500, sosi tamu gramu 25, sukari gramu 10, mchuzi wa soya gramu 19, chumvi gramu 1, M.S.G gramu 1, maji ya wanga gramu 25, tangawizi, vitunguu maji na vitunguu saumu gramu 50 | 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19
|
|