Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Pilau la kabila la Xinjiang
  •  2005/04/13
    Mahitaji
    Nyama ya kondoo gramu 500, karoti moja, mchele, vitunguu, chumvi na mafuta
  • Vipapatio vya kuku vilivyopikwa na kokakola
  •  2005/04/06
    Mahitaji
    Vipapatio vya kuku gramu 500, kiasi kidogo cha vipande vya vitunguu maji, tangawizi na vitunguu saumu, chumvi, mchuzi, mvinyo wa kupikia, sukari, kokakola na mafuta
  • Kuchemsha vipande vya nyama ya nguruwe
  •  2005/03/30
    Mahitaji
    Nyama ya nguruwe gramu 300, yai, chumvi, M.S.G, vipande vya tangawizi, vitunguu maji na vitunguu saumu, wanga, sosi ya pilipili, pilipili manga, siki, mvinyo wa kupikia, mboga, na mafuta ya kupikia.
  • Mseto uliopikwa kwa vitu nyingi
  •  2005/03/23
    Mahitaji
    Uyoga mweusi gramu 10, pilipili mboga gramu 5, pilipili nyekundu gramu 5, nanasi, yai moja, kiasi kidogo cha mchuzi wa soya, chumvi, kitunguu maji, wali uliopikwa na mafuta
  • Kupika sarara ya nyama ya nguruwe kwa mchuzi wa nyanya
  •  2005/03/16
    Nyama ya nguruwe gramu 240, chumvi gramu 2, pilipili manga gramu 2, mvinyo wa manjano gramu 10, uyoga gramu 20, mchuzi wa nyanya vijiko 2, kitunguu saumu 1, kiasi kidogo cha kitunguu, pilipili mboga moja, sukari na mafuta
  • Kukoroga doufu pamoja na tango na uyoga mweusi
  •  2005/03/09
    Mahitaji 
    Doufu gramu 300, tango moja, uyoga mweusi gramu 20, kisasi kidogo cha pilipili mbuzi na tangawizi
  • Namna ya kupika figili na mizizi ya yungiyungi
  •  2005/03/02
    Mahitaji 
    Figili gramu 250, mizizi ya yungiyungi yenye rangi nyeupe, chumvi vijiko 2, unga wa nyama ya kuku kijiko moja, mvinyo wa kupikia nusu kijiko, na mafuta gramu 10
  • Mapishi ya korosho pamoja na kamba-mwakaje
  •  2005/02/23
    Mahitaji
    Kamba-mwakaje gramu 250, korosho gramu 100, ute wa yai, kiasi kidogo cha vitunguu maji, tangawizi, chumvi, M.S.G, wanga, maji ya wanga, supu ya kuku na mafuta.
  • Namna ya kupika nyama ya nguruwe yenye ladha tamu na siki
  •  2005/02/16
    Mahitaji
    Nyama ya nguruwe gramu 240, mananasi yaliyokwisha kukatwa kuwa vipande vidogo, pilipili mboga moja, nusu ya kitunguu kimoja, nusu ya yai, wanga vijiko vinne, kiasi kidogo cha mafuta, chumvi 1/3 ya kijiko, sukari 1/4 kijiko, siki nusu ya kikombe, maji ya wanga kijiko kimoja
  • Kupika mahindi pamoja na punje za msonobari
  •  2005/02/02
    Mahitaji
    Mahindi gramu 200, punje za msonobari gramu 30, maharagwe gramu 10, mafuta yaliyokwisha kuchemshwa gramu 500, chumvi nusu kijiko, M.S.G nusu kijiko, mafuta ya uto kijiko kimoja, kiasi kidogo cha maji ya wanga.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19