|
|
Supu yenye ladha ya siki na pilipili 2005/01/26 Mahitaji Doufu gramu 30, uyoga mweusi gramu 20, slesi zilizokaushwa za vichipukizi vya mianzi gramu 50, vipande vya nyama ya nguruwe gramu 50, vitunguu maji gramu 5, tangawizi gramu 5, yai 1, maji bakuli 2, mchuzi wa soya kijiko 1, siki vijiko 2, chumvi kijiko 1, M.S.G nusu kijiko, unga wa pilipili manga nusu kijiko, maji ya wanga vijiko 2, kiasi kidogo cha mafuta ya uto na mvinyo wa kupikia | Kukaanga maharage mabichi 2005/01/19 Mahitaji Maharage mabichi gramu 500, nyama ya kusagwa gramu 300, chumvi gramu 4, mchuzi wa soya gramu5, mvinyo wa kupikia gramu 2.5, M.S.G gramu 1.5, sosi ya pilipili gramu 3.5, vitunguu maji gramu 5, tangawizi gramu 2.5, mafuta gramu 70, sukari gramu 1. | Namna ya kupika vipande virefu vya nyama ya nguruwe kwa sosi tamu 2005/01/12 Mahitaji Nyama ya nguruwe gramu 250, sosi tamu gramu 80, vitunguu maji gramu 250, mvinyo wa kupikia gramu 5, M.S.G gramu 2, tangawizi gramu 5,sukari gramu 20, chumvi gramu 1, wanga gramu 2, yai 1, mafuta gramu 150. | Upigaji wa nyama ya ng'ombe pamoja na doufu ya kuokwa 2005/01/05 Mahitaji Nyama ya ng'ombe--gramu 160, doufu laini--vipande 4, vitunguu maji--vipande 3, kiasi kidogo cha tangawizi, mafuta--vijiko 5, mchuzi mwepesi wa soya--vijiko 2, mchuzi mzito wa soya-- 1/2 kijiko, sukari--2/3 kijiko, wanga wa muhogo--vijiko 2, maji--kikombe 1, unga wa nyama ya kuku-- kijiko 1 cha chai, chumvi --1/3 kijiko, kiasi kidogo cha mafuta ya sesame na pilipili manga | Kababu 2004/12/29 Mahitaji Nyama ya kamba-mwakaje gramu 150, nyama ya kidari cha kuku gramu 100, chengachenga za mkate mweupe uliotolewa magamba gramu 75, kiasi kidogo cha mvinyo wa kupikia, chumvi iliyo safi, unga wa pilipili manga, M.S.G, vipande vya vitunguu maji na tangawizi na mayai yaliyopigwapigwa. | Namna ya kupika mabilingani na mchuzi wa saumu wenye pilipili ulio na ladha ya samaki 2004/12/22 Mahitaji Mabilingani gramu 300, mayai 3, wanga gramu 100, vipande vya vitunguu saumu, tangawizi, vitungu maji gramu 50 kwa mbalimbali, pilipili nyekundu gramu 50, chumvi gramu 2, mchuzi wa soya gramu 5, sukari gramu 10, siki gramu 5, mvinyo wa kupikia gramu 5,MSG gramu 1, mafuta yaliyokwisha chemka gram 500. | Nyama ya Ng'ombe yenye mchuzi 2004/12/15 Mahitaji Kilo 1.25 za nyama ya ng'ombe ya sehemu ya kati ya kidari, gramu 50 za mafuta ya karanga?kiasi kidogo cha sosi ya soya, chumvi, MSG, sukari, mvinyo wa kupikia, pilipili, vitunguu maji, tangawizi na vitunguu saumu vilivyosagwa, poda mweusi ya pilipili, aniseed | Ngisi wa kukaanga 2004/12/08 Mahitaji Gramu 250 za ngisi waliolowekwa, gramu 500 za mafuta yaliyopikwa, vitunguu maji, tangawizi, vitungu saumu, chumvi, M.S.G., mvinyo wa kupikia, wanga wa maji na vipande vichache vya matango. | Vipande vya nyama ya kuku vilivyokaangwa pamoja na karanga na pilipili 2004/12/01 Mahitaji Nyama ya kidari cha kuku gramu 300, karanga iliyokaangwa gramu 15, kitunguu saumu gramu 5, unga wa tangawizi gramu 15, vipande vya vitunguu maji gramu 10, pilipili hoho gramu 5, pilipili gramu 1, sukari gramu 1, mchuzi wa soya gramu 15, chumvi gramu 1, mvinyo wa kupikia gramu 8, maji ya wanga gramu 20, supu ya kuku gramu 25, mafuta yaliyokwisha chemshwa gramu 100. | |
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19
|
|