• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Migahawa ya kijapani ya mjini Beijing

    (GMT+08:00) 2008-12-22 15:54:10

    "Ninapenda sana chakula cha kijapani, pia ninapenda samaki wa Salmon, chakula kinachouzwa na mgahawa huo ni kitamu sana. Mbali ya kufika katika mgahawa huo, vilevile ninakwenda kula katika baadhi ya migahawa mingine ya kijapani, huwa ninakwenda pamoja na marafiki zangu. Ninaona migahawa hiyo ni mizuri."

    Meneja Ou Fengxia alisema, Mgahawa wa Yuanlu Sushi ulipokea wageni wengi waliotoka nchi mbalimbali katika siku za kufanyika kwa michezo ya Olimpiki ya Beijing, kwa kufuata upendeleo wao, waliwatayarishia Pizza pie pamoja na vitoweo vipya vya kijapani, tena waliandaa mazungumzo ya lugha ya Kingereza kwa ajili ya wahudumiaji wa mgahawa wao ili kuwawezesha wahudumiaji wao watoe huduma nzuri zaidi kwa wageni waliotoka nchi za nje, menu za mgahawa huo pia zilichapwa kwa lugha za aina tatu za Kichina, Kijapani na Kingereza.


    1 2 3 4 5 6
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako