• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (27 Juni-1 Julai)

    (GMT+08:00) 2016-07-01 17:23:00

    Mabaki yaliyopatikana kwenye kisiwa cha Pemba Tanzania ni ya ndege ya Boeing 777

    Wataalamu wa mambo ya anga wa Tanzania wamesema kipande cha bawa la ndege kilichookotwa wiki iliyopita kwenye kisiwa cha pemba kwenye pwani ya Tanzania, ni ya ndege aina ya Boeing 777, lakini wanasita kutaja kuwa ni ya ndege ya Malaysia iliyopotea.

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya mambo ya anga ya Tanzania Bw Hamza Johari amesema wataalamu wa mamlaka hiyo wamegundua kuwa kipande hicho ni cha ndege aina ya Boeing 777.

    Kwa sasa mamlaka yake inafanya mawasiliano na upande wa Malaysia kuhusu kutuma wataalam nchini Tanzania kutambua kama kipande hicho ni cha ndege ya Malaysia iliyopotea.

    -

    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako