• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (27 Juni-1 Julai)

    (GMT+08:00) 2016-07-01 17:23:00

    Jeshi la Kenya laua wanamgambo 4 Lamu

    Wanajeshi wa Kenya wamezima shambulizi kutoka kwa kundi la al-Shabab kaunti ya Lamu nchini humo, ambapo wanamgambo wanne waliuawa na silaha kadha kupatikana wakati wa ufyatulianaji huo wa risasi.

    Wanajeshi wamekuwa wakiwawinda wanamgambo wa al-shabab baada ya kafanya shambulizi dhidi ya KDF eneo Mangai jana jioni.

    Gruneti, bunduki nne aina ya AK47 na vilipuzi vilipatikana.

    Jaribio hilo la shambulizi lilifanyika karibu na kijiji cha Baure kilicho umbali wa kilomita 60 kaskazini mwa mji wa pwani mwa Kenya wa Lamu.

    -

    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako