• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (27 Juni-1 Julai)

    (GMT+08:00) 2016-07-01 17:23:00

    Takriban wahamiaji 10 wafa maji pwani ya Libya

    Takriban watu 10 walikufa maji na zaidi ya wengine 100 kuokolewa, wakati mashua moja iliyokuwa imebeba wahamiaji ilipozama umbali wa kilomita 32 kutoka Libya.

    Wale wote waliokufa walikuwa ni wanawake.

    Ajali hiyo inayowahusu wahamiaji inajiri wakati jeshi kla Italia linapoindoa habarini mashua iliyozama, ambapo hadi watu 700 waliaga dunia.

    Janga hilo la mwezi Aprili mwaka 2015 ndilo baya zaidi tangu wahamiaji waanze kuingia ulaya mwaka 2013.

    -

    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako