• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (18 Julai-22 Julai)

    (GMT+08:00) 2016-07-22 18:16:27

    Watu 10 wakamatwa kwa tuhuma za ugaidi Brazil

    Polisi nchini Brazil imewatia mbaroni watu 10 wanaodaiwa kuwa wafuasi wa kundi lenye itikadi kali la Dola la Kiislamu.

    Watuhumiwa wanadaiwa walikuwa wanapanga mashambulizi katika kipindi cha michezo ya Olimpiki mjini Rio de Janeiro.

    Waziri wa Sheria wa Brazil Alexandre de Moraes amesema kundi hilo lenye kujumuisha Wabrazil wengi limeripotiwa likifanya mjadala wa kununua silaha na kuifanya mbinu za vita vya msituni katika kutekeleza azma yao.


    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako