• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (18 Julai-22 Julai)

    (GMT+08:00) 2016-07-22 18:16:27

    Erdogan atangaza kulifanyia mageuzi jeshi la Uturuki

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametangaza wiki hii kulifanyia mabadiliko jeshi la nchi hiyo hatua ambayo inachukuliwa si zaidi ya wiki moja baada ya tukio la mapinduzi lililoshindwa.

    Hayo yanajiri wakati kukionekana uwezekano wa kutokea uasi miongioni mwa maafisa wa jeshi.

    Akizungumza katika mahojiano yake na shirika la habari la Uingereza, Reuters, Erdogan amesema wamekuwa macho zaidi. Baada ya jaribio la mapinduzi maelfu ya wanajeshi na maafisa walikamatwa.

    Serikali ya Ankara imewatuhumu waasi wenye kuhusiana na mtandao wa mhubiri wa Kituruki anayeishi uhamishoni Marekani Fethullah Gulen.


    1 2 3 4 5 6 7 8
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako