• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Agusti 6-Agusti 12)

    (GMT+08:00) 2016-08-12 18:25:13

    Kundi la Boko Haram lawaua wachungaji 1,900 wa Nigeria ndani ya miaka 4

    Kundi la Boko Haram la Nigeria limewaua wachungaji 1,900 kwenye jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria katika miaka minne iliyopita.

    Akizungumza kwenye mji mkuu wa jimbo hilo la Maiduguri wiki hii, Mwenyekiti wa shirika la wafugaji la Al-Hayah Bw. Ibrahim Mafa amesema ng'ombe zaidi 169,000 na kondoo na mbuzi 63,000 pia walipotea katika mashambulizi hayo


    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako