• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Agusti 6-Agusti 12)

    (GMT+08:00) 2016-08-12 18:25:13

    Watumishi 76,000 wa Uturuki wasimamishwa kazi tangu kutokea kwa jaribio la mapinduzi

    Waziri wa mambo ya ndani wa Uturuki Efkam Ala wiki hii amesema, karibu watumishi 76,000 wamesimamishwa kazi tangu kushindwa kwa jaribio la mapinduzi lililotokea tarehe 15 mwezi Julai.

    Watumishi 5,171 wanashikiliwa na wengine 16,899 wamekamatwa. Jumla ya maofisa 190 wa jeshi, wakiwemo majenerali 9, bado wanasakwa tangu jaribio la mapinduzi litokee.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako