• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Mei-7 Mei)

    (GMT+08:00) 2017-05-05 20:15:44

    Rais wa Afghanistan atoa mwito kwa kundi la Taliban kujiunga na mchakato wa amani

    Rais Mohammad Ashraf Ghani wa Afghanistan ametoa mwito kwa wapiganaji wa kundi la Taliban waache mapambano na kushiriki kwenye mazungumzo ya amani na serikali, ili kuhimiza maafikiano ya kitaifa nchini humo.

    Rais Ghani amesema hayo kwenye sherehe iliyofanyika kwenye ikulu ya nchi hiyo kumkaribisha Gulbuddin Hekmatyar, kiongozi wa chama cha Hizb-e-Islami aliyeishi uhamishoni, ambaye aliwasili jana mjini Kabul baada ya kuamua kuacha mapambano na serikali ya Afghanistan.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako