• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Mei-7 Mei)

    (GMT+08:00) 2017-05-05 20:15:44

    Waziri mwenye umri mdogo zaidi Somalia auwawa na kuzikwa

    Waziri wa ujenzi nchini Somalia aliuwawa wiki hii na mwanajeshi wa serikali mjini Mogadishu siku ya Jumatano Abbas Abdullahi Siraji amezikwa katika mazishi ya kitaifa.

    Abbas aliuwawa kwa bahati mbaya na wanajeshi wa serikali waliofyatulia risasi alipokua akikaribia ikulu ya Rais.

    Maafisa wa polisi walidhani kwamba walidhani kwamba gari la waziri huyo lililokuwa linaingia ikulu lilitishia usalama na hivyo wakaamua kupiga marisasi bila kufahamu .

    Rais Mohammed Abdullahi Farmajo ameamuru kufanyika kwa uchunguzi wa kina.

    Ameahirisha pia safari yake ya kikazi nchini Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria mazishi hayo.

    Abbas alikua mkimbizi katika kambi ya Dadaab na baadae kuwa waziri mdogo zaidi nchini humo huku akihamasiaha raia wengi wa nchi hiyo.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako