• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (15 Julai-21 Julai)

    (GMT+08:00) 2017-07-21 19:31:33

    UN na AU wazindua mafunzo ya pamoja ya doria kwa polisi mjini Mogadishu

    Tume za Umoja wa mataifa na Umoja wa Afrika nchini Somalia zimezindua mpango wa pamoja wa mafunzo, kwa maofisa wa polisi wa majimbo ya Puntland na Galmudug, ili kufanya doria katika eneo la Galkayo, ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya kusimamisha vita.

    Polisi watakaopewa mafunzo pia wataunga mkono juhudi zinazoendelea za kurudisha utulivu na utawala wa sheria, na kuimarisha amani katika eneo la Galkayo.

    Mafunzo hayo yanatolewa kwa mujibu wa makubaliano ya kusitisha uhasama yaliyofikiwa kati ya wakuu wa majimbo ya Puntland na Galmudug. Kamanda wa polisi wa tume ya umoja wa mataifa nchini Somalia Bw Christopher Buik, amesema lengo la mafunzo hayo ni kujenga upya uaminifu na amani kwenye eneo la Galkayo.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako