• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( 9 Desemba-15 Desemba)

    (GMT+08:00) 2017-12-15 18:03:15
     

    Mashirika ya misaada yatafuta dola bilioni 1.72 kwa ajili ya kazi za kibinadamu nchini Sudan Kusini kwa mwaka 2018

    Mashirika ya utoaji wa misaada yametoa wito wa kutafuta dola bilioni 1.72 za kimarekani kwa ajili ya kuwasaidia watu milioni 6 nchini Sudan Kusini waliokimbia makazi na wanaoathirika na migogoro, njaa na kudorora kwa uchumi.

    Mratibu wa mambo ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini Bw. Alain Noudehou, amesema fedha hizo zinahitajika ili kukidhi mahitaji ya utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya watu waliokimbia makazi, usalama wa chakula, utapiamlo, vurugu na kushuka kwa uchumi, vinavyotishia afya, usalama na maisha ya watu.

    Waziri wa mambo ya kibinadamu wa Sudan Kusini Bw. Hussein Mar, amesema hali ya kibinadamu kwa mwaka kesho inaweza kuwa ngumu zaid kutokana na kuongezeka kwa migogoro ya kikabila.

     

    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako