• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( 9 Desemba-15 Desemba)

    (GMT+08:00) 2017-12-15 18:03:15

    Israel yaendelea kushambulia Hamas

    Jeshi la Israel limesema mashambulizi yake ya roketi yanazilenga ngome tatu za kijeshi za wapiganaji wa kundi la Hamas, ikiwa ni hatua ya kujibu shambulizi dhidi yao la kutoka ukanda wa Gaza.

    Israel pia imeamuru kufungwa kwa mpaka kati yake na Gaza, baada ya shambulizi la nnela maroketi yanayodaiwa kurushwa na kundi la Hamas.

    Hali hii ya mapigano ya kundi la Hamas inadaiwa kuwa ni kutokana na hasira kufuatia hatua ya rais Trump kuutambua mji wa Jesrusalem kama makao makuu ya Israel.

    Hata hivyo jeshi la Israel linasema kuwa makombora yaliyorushwa, walifanikiwa kuyazuia, ambapo moja lilianguka eneo la wazi kusini mwa Israel na jingine lilipoteza mweelekeo.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako