• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (23 Desemba-29 Desemba)

  (GMT+08:00) 2017-12-30 16:10:21

  Aliyekuwa mchezaji wa soka George Weah ashinda uchaguzi wa urais Liberia

  George Weah wiki hii alitangazwa kuwa Rais wa Liberia na tume ya uchaguzi nchini humo baada ya kuongoza kwa asilimia 61.5 kati ya kura asilimia 98.1 zilizohesabiwa.

  Anachukua nafasi ya mwanamke wa kwanza Afrika kuwa rais Bi.Ellen Johnson Sirleaf anayemaliza muda wake kwa mjibu wa katiba ya taifa hilo na ambaye pia ni mshindi Nobel.

  Hii itakuwa mara ya kwana kwa nchi hio kupata kiongozi kwa njia ya kidemokrasia. Baada ya kutangazwa mshindi, Weah alisema anaelewa umuhimu na majukumu ya kazi kubwa inayomkabilia na kusisitiza kuwa mabadiliko mpaka yafanyike.


  1  2  3  4  5  6  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako