• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (23 Desemba-29 Desemba)

  (GMT+08:00) 2017-12-30 16:10:21

  Shirika la American Airlines lawaomba msamaha wachezaji wawili wa mpira wa kikapu kwa kufukuzwa kutoka kwa ndege kwa kushukiwa kuwa wezi

  Shirika la American Airlines lililazimika kuwaomba msamaha wachezaji wawili wa mpira wa kikapu ambao walifukuzwa kutoka kwa ndege kwa kushukiwa kuwa wezi.

  Marquis Teague na Trahson Burrell waliabiri ndege hiyo siku moja kabla ya krismasi wakielekea kucheza mechi.

  Lakini kabla ya ndeye kuondoka uwanjani, mhudumu mmoja wa ndege alidai kuwa wanaume hao walikuwa mablanketi kutoka upande wa kifahari wa ndege ambapo walilazimishwa kushuka kutoka kwe ndege hiyo.

  Baadaye ilibainika kuwa ni abiria walikuwa wamewapa mablanketi hayo.


  1  2  3  4  5  6  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako