• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 19-Mei 25)

  (GMT+08:00) 2018-05-25 20:00:01

  Zaidi ya watu 49 wafariki dunia baada boti kuzama

  Kwingineko ilikuwa ni wiki ya huzuni tele katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo pale watu wasiopungua 49 kufariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Mto Kongo, kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC.

  Gavana wa mkoa wa Tshuapa Bw. Mboyo Iluka alisema boti hiyo iliyokuwa ikisafiri kutoka kijiji cha Monkoto kuelekea Mbandaka ilizama na chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.

  Tume inayoundwa na maofisa waandamizi wa mkoa huo imepelekwa kwenye eneo la ajali kuchunguza chanzo cha ajali hiyo.

  Ajali katika Mto Congo huwa zinasababishwa na hali mbaya za boti au boti kubeba abiria kupita kiasi


  1  2  3  4  5  6  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako