• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Julai30-Julai 6)

  (GMT+08:00) 2018-07-06 19:10:06

  Warwanda zaidi 80 walioingia Uganda kiharamu wakamatwa

  Polisi wa Uganda wiki hii wamewakamata raia 82 wa Rwanda kwa kuingia nchini humo kwa njia haramu.

  Msemaji wa polisi wa jimbo la Kigezi Elly Maate amesema kuwa, watu 82 wamezuiliwa kwenye mabasi mawili katika barabara ya mwendo kasi ya Kabale-Mbarara, magharibi mwa nchi hiyo.

  Maate amesema, watuhumiwa hao waliingia Uganda kiharamu kwa kupitia forodha ya Rubaya, Bigaya, Kamwezi na Bufundi, wakidai kuwa wanaelekea kwenye mashamba ya chai ya Bunyoro na Kijura kufanya kazi za kibarua.

  Amesema kuwa, watu hao walipaswa kutumia kituo rasmi wakiwa na nyaraka za kusafiri.


  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako