• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 9-March 15)

  (GMT+08:00) 2019-03-15 18:54:14

  Wanafunzi 12 wafariki baada ya jengo kuanguka nchini Nigeria

  Wanafunzi 12 wamefariki baada ya jengo la ghorofa tatu lililokuwa na shule ya msingi, maduka, na nyumba za kuishi kuanguka mjini Lagos, Nigeria.

  Daktari mmoja ambaye hakutaka kutaja jina lake amesema, kati ya watu waliofariki, mmoja ni mwanamke mjamzito ambaye alifariki baada ya kupata matibabu.

  Shule ya msingi iliyokuwepo katika jengo hilo ilikuwa na wanafunzi 172 walioandikishwa

  Chanzo cha kuanguka kwa jengo hilo bado hakijajulikana.


  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako