• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 4-Mei 10)

  (GMT+08:00) 2019-05-10 20:15:06

  Sudan Kusini yakanusha kutuma jeshi kuzuia maandamano barabarani

  Sudan Kusini imesema, kusambaza jeshi katika barabara za Juba na maeneo yanayozunguka si kwa ajili ya kuzuia maandamano yatakayofanyika bali ni utaratibu wa kawaida wa kuimarisha usalama katika sikukuu ya kijeshi.

  Waziri wa habari na utangazaji wa Sudan Kusini Michael Makuei Lueth amesema, wanatuma jeshi kulinda amani katika kila sikukuu. Na hatua hiyo si kwamba inalenga kuzuia maandamano yanayotarajiwa kufanywa na kundi la Red Card Mei 16.

  Habari zinasema, kundi hilo la vijana linalompinga kiongozi wa sasa wa Sudan Kusini, limetumia mitandao ya kijamii kuhamasisha watu kuliunga mkono.


  1  2  3  4  5  6  7  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako