• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Julai 18-Julai 24)

    (GMT+08:00) 2020-07-24 17:08:53

    Polisi mmoja wa Kenya auawa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulizi lililozuiwa la kundi la al-Shabab

    Ofisa wa polisi wa Kenya ameuawa, na wengine watatu kujeruhiwa jumatano usiku katika shambulizi lililozuiwa la wapiganaji wa kundi la al-Shabab kwenye Kaunti ya Garissa, kaskazini mashariki nchini humo.

    Kamanda wa mkoa wa Kaskazini Mashariki Rono Bunei amesema, magaidi wa al-Shabab walijaribu kushambulia Kambi ya Doria ya Mpakani BPU kwenye eneo la Yumbis kwenye saa 12:45 jioni, lakini walizuiliwa na maafisa wa usalama.

    Bw. Bunei amesema idadi isiyojulikana ya wanamgambo waliingia kwenye kambi ya polisi baada ya kurusha makombora ya roketi kwenye shambulizi kabla ya kuzuiliwa na askari wa kambi hiyo.


    1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako