• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Ibrahim Elias mwanafunzi wa Tanzania hapa Beijing 2009-01-09
    Mimi naitwa Ibrahim Elias, ni mwanafunzi wa hapa, chuo kikuu cha mawasiliano cha Beijing. Mimi natoka Tanzania, Geita, Mwanza. Nimefika hapa mwaka 2006, miaka mitatu sasa. Hapa nasoma kozi ya mawasiliano, ni shahada ya kwanza
    • Moses mwenye uwezo wa kuimba vizuri nyimbo za Kichina 2008-12-12

    Emanuel Moses Onasaa ni mkazi wa Dar es Salaam, na wazazi wake walitoka mkoa wa Kilimanjaro. Miaka mitatu iliyopita, Moses alikuja nchini China, sasa anachukua kozi ya uchumi wa kiamtaifa na biashara katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Beijing.

    • Maisha na masomo ya Mansanche hapa Beijing 2008-12-05
    Masanche Lilian kutoka Tanzania sasa anasoma katika chuo kikuu cha umma cha China, alisema amezoea maisha hapa Beijing.
    • Makampuni ya China yaliyopo nchi za nje yapaswa kushukuru jamii za huko 2008-11-18
    Mkuu wa shirikisho la biashara ya mradi wa ukandarasi kwa nchi za nje la China Bw. Diao Chunhe hivi karibuni huko Algiers alisema shughuli za miradi ya ukandarasi za China kwa nchi za nje ziliendelea kwa kasi lakini makampuni ya China yalipoendelea kwenye nchi za nje yanapaswa kushukuru jamii za huko ili kujiendeleza na kupata manufaa pamoja na wananchi wa huko.
    • Wachina wanaoishi nchini Zimbabwe wafuatilia wagonjwa wa Ukimwi wa huko 2008-11-18
    Mfanyabiashara wa China Bw. Xie Chonghui ambaye anaitwa na wakazi wa huko kuwa "mfalme wa baiskeli", alasiri ya tarehe 10 Oktoba akiendesha lori lililobeba mikate alikwenda kituo cha kuwafuatilia wagonjwa wa Ukimwi kilichoko kitongoji cha mji wa Harare. Alifika kwenye kituo hicho akifuatana na balozi wa China nchini Zimbabwe Bw. Yuan Nansheng, ambapo mkurugenzi wa kituo hicho Bi. Mcallen na wafanyakazi wengine waliwakaribisha kwa furaha.
    • Daktari wa China atoa mchango mkubwa kwa miaka 40 nchini Mali 2008-11-18
    Tokea mwaka 1968, madaktari wa China walikwenda Mali kushughulikia matibabu na afya za wananchi wa Mali. Mwaka huu ni wa 40 tangu China itoea msaada wa matibabu kwa Mali. Katika miaka 40 iliyopita, kikundi cha madaktari wa China kiliwaokoa na kuwatibu wananchi wa Mali na kusifiwa na watu wa hali mbalimbali wa Mali.
    prev 1 2 3 4
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako