• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Watu wanaojitolea kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Shanghai wako tayari 2010-04-19
    Watu wanaojitolea kutoa huduma wakati wa Maonesho ya Kiamtaifa y Shanghai sasa wako tayari. Tarehe 17 ambapo zilibaki tu siku 14 tu kabla ya kufunguliwa kwa maonesho hayo, watu hao walikula kiapo
    • Mikopo iliyotolewa na benki yawasaida wanawake kufanya biashara ndogondogo 2010-03-29
    Msemo mmoja wa kiafrika unasema kuwa mwanamke ni mizizi ya familia. Ama kwa hakika mti ukinyunyiziwa maji ya kutosha, mizizi zinaota arthini ili kupata virutubisho ambazo zinaukuza na kufanya shina, matawi, majani na matunda kunawiri. Msemo huu unamithilisha mwanamke kuwa ni mizizi, na shina kuwa ni mumewe. Matawi, majani na matunda ni watoto na maendeleo katika familia na jamii anayoishi mama huyo.
    • Benki zasaidia wanawake kujiendeleza kibiashara nchini Kenya 2010-03-11
    Katika karne ya 21 wanawake wa Afrika na kote ulimwenguni wako mbioni kujiendeleza kiuchumi kwa kufanya biashara. Serikali nyingi na mashirika ya fedha yametenga hazina maalum ili kufadhili kwa njia ya mikopo biashara za wanawake.
    • Bendi ya Sisi Tambala: Tunafanya kazi kama balozi wa muziki wa Tanzania nchini China 2010-01-18
    Bendi ya Sisi Tambala kutoka Tanzania ilialikwa hivi karibuni kwenye studio ya Redio China Kimataifa, wakidokeza jinsi wanavyotangaza muziki wa kiafrika nchini China, kuishi na wachina na kubadilishana uzoefu na wasanii wa China, tangu wawasili Beijing miezi sita iliyopita. Sehemu ya Kwanza Sehemu ya Pili
    • He Liehui: Balozi anayehimiza mawasiliano kati ya Wachina na Waafrika 2009-12-11
    Bw. He Liehui ni mfanyabiashara wa China nchini Nigeria. Katika miaka kadhaa iliyopita, alitumia mamilioni ya pesa kuandaa makongamano mbalimbali yaliyoshirikisha makampuni ya China na makampuni ya Afrika, ili makampuni hayo yakae pamoja na kutafuta fursa za biashara, pia anafanya juhudi kwa moyo wote katika kusukuma mbele maendeleo ya uchumi na biashara ya Nigeria..
    • Balozi Liu Guijin: Naipenda sana Afrika 2009-12-04
    Mkutano wa nne wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika ulifanyika mwanzoni mwa mwezi Novemba huko Sham el Sheikh, Misri. Miaka 9 imepita tangu baraza hilo lianzishwe mwaka 2000, na limekuwa ni baraza muhimu linalosukuma mbele urafiki na ushirikiano kati ya China na Afrika, linafuatiliwa sana na pande hizo mbili na hata dunia nzima. Lakini je, ni nani alianzisha na kuandaa baraza hilo?
    • Profesa Liu Hongwu aliyetoa mchango zaidi kwa ajili ya kuongeza urafiki kati ya China na Afrika 2009-11-27
    Profesa Liu Hongwu alizaliwa mwaka 1958 katika mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China. Yeye amefanya utafiti kuhusu Afrika kwa miaka 20. Katika muda huo ameandika vitabu zaidi ya 10 kuhusu Afrika, ambavyo vimechapishwa.
    • Bw. Zhang Yong, balozi wa Urafiki kati ya China na Sudan 2009-11-20
    Zhang Yong ni ofisa wa jeshi la China. Yeye alitumwa kwa mara mbili nchini Sudan kushiriki kwenye operesheni ya ulinzi wa amani ya Umoja wa Mataifa, ambapo aliwaongoza madaktari wanajeshi wa China kutoa matibabu kwa vipofu karibu 100
    • Mwandishi wa habari wa China anayetoa mchango mkubwa kwenye kuongeza urafiki kati ya China na Afrika 2009-11-16
    Hivi karibuni sherehe ya utoaji wa tuzo kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwenye kuimarisha urafiki kati ya China na Afrika ilifanyika hapa Beijing. Na Bw. Ding Bangying, ambaye ni mkurugenzi wa ofisi kuu ya Redio China Kimataifa barani Afrika, amekuwa mmojawapo wa watu waliopewa tuzo hiyo.
    • Kituo cha mfano cha teknolojia za kilimo ya China chafanya sherehe ya kuweka jiwe la msingi nchini Zimbabwe 2009-10-30
    China inatumia nguvu yake bora ya kilimo kuimarisha utoaji wa misaada ya kilimo kwa Zimbabwe, ambayo itatoa mchango mkubwa katika kutatua suala la chakula kwa wakazi wa huko. Hivi karibuni, kituo cha mfano cha teknolojia za kilimo ya China kilifanya sherehe ya kuweka jiwe la msingi nchini Zimbabwe.
    1 2 3 4 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako