• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Waafrika wapendelea mji wa Guangzhou 2009-04-03
    Tukitaja mji mkubwa wa China, watu wengi wa Afrika watakumbuka zaidi kuwa siyo Beijing wala Shanghai, bali ni Guangzhou. Sababu yake ni kuwa, Guangzhou ni mji ulio karibu zaidi na bara la Afrika,na ni kituo cha kwanza nchini China ambacho watu wengi wa Afrika hufika, na pia ni chaguo la kwanza kwa waafrika kusoma na kufanya biashara.
    • Said:  Maisha yangu nchini China 2009-03-13
    Said ameishi nchini China kwa miaka minane, aliwahi kusoma katika chuo kikuu cha Jiangnan, Wuxi kwa miaka mitano, baadaye alikwenda Shanghai, akafanya kazi katika kampuni moja. Sasa yeye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha posta na simu cha Beijing.
    • Ninanufaika na mawasiliano ya elimu kati ya China na Afrika 2009-03-06
    Hassan Kombo kutoka Zanzibar sasa ni mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Jilin, amekuja hapa China kwa miezi kadha. Kabla ya kufika China, Hassan alikuwa ni mwandishi wa habari wa Sauti ya Tanzania Zanzibar, alisema ananufaika na mawasiliano ya elimu kati ya China na Afrika, kwani alipewa udhamini wa masomo nchini China
    • Chuo cha Confucius chajenga daraja la urafiki kati ya wananchi wa China na Afrika 2009-02-27
    Katika chuo cha Confucius cha chuo kikuu cha Nairobi, wanafunzi walikuwa wanasoma makala ya Kichina darasani. Maana ya maneno waliyosoma ni "Anaitwa Ding Libo, baba yake ni mcanada, mama yake ni mchina, na yeye ni mcanada."
    • Hadithi ya Mfanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa Ng'ambo ya CGC Zemedkun Asfawkun 2009-02-20
    Kiwanda cha vioo cha Hansom nchini Ethiopia ambacho kinawekezwa na kujengwa na Kampuni ya Ujenzi wa Ng'ambo ya China CGC, pia ni kiwanda cha kwanza cha vioo cha nchi hiyo.
    • Lilian na Daniel: Mke na mume kusoma katika nchi moja kwa wakati mmoja 2009-02-13
    Mke na mume kusoma katika nchi moja kwa wakati mmoja, sababu gani ilikupelekea Daniel kuja China kusoma? Mahojiano na Lilian na Daniel
    • Maisha ya Mwalimu Magreth Komba nchini China 2009-02-06
    Bi. Magreth Komba anatoka Tanzania, ana uzoefu wa miaka kumi wa kufundisha. Sasa amefika hapa Beijing na anasomea digri ya udaktari wa ualimu na mitaala katika Chuo Kikuu cha Ualimu cha Beijing. Kwa kuwa yeye ni mwalimu wa muda mrefu, kwa hiyo anaipenda sana kazi yake
    • Erick Araka Mokua mwanafunzi wa Kenya mjini Beijing 2009-01-23
    Katika kipindi cha leo tutawaletea mahojiano kati ya mtangazaji wetu Pili Mwinyi na Bw. Erick Araka Mokua kutoka Kenya anayesoma katika chuo kikuu cha safari ya anga ya juu na usafiri wa ndege cha Beijing. Mahojiano hayo yalianzia ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Beijing.
    • Wanafunzi ni kama mabalozi wa urafiki kati ya China na Afrika 2009-01-16
    Katika miaka 60 iliyopita tangu Jamhuri ya watu wa China ianzishwe, hususan tangu sera ya mageuzi na kufungua mlango kwa nchi za nje itekelezwe nchini China mwaka 1978, uhusiano wa kirafiki kati ya China na nchi za Afrika ulikuwa umeendelezwa vizuri, na mafanikio mengi yamepatikana katika mawasiliano ya elimu kati ya pande hizo mbili.
    • Waafrika washerehekea sikukuu ya Krismasi nchini China 2009-01-09
    Sikukuu ya Krismasi imemalizika, na mwaka 2009 unakaribia. Wapo waafrika wengi ambao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya nchini China na jee wageni hao wanasherehekea vipi? Na kuna tofauti gani kati ya China na nchi zao katika njia ya kusherekea sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya?
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako