• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya elimu wapata maendeleo makubwa 2009-09-11
    Mkutano wa 4 wa mawaziri wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika utafanyika nchini Misri katika robo ya mwisho ya mwaka huu. Tangu mwaka 2006 mkutano wa wakuu wa baraza hilo ulipofanyika hapa Beijing, uhusiano wa aina mpya wa kiwenzi na kimkakati kati ya China na Afrika umepata maendeleo makubwa, na kazi ya utekelezaji wa ahadi za serikali ya China kwa Afrika pia imepata mafanikio makubwa.
    • Michezo ya Olimpiki ya Beijing imeniachia kumbukumbu nyingi 2009-08-21
    Ni mwaka mmoja sasa umepita toka Michezo ya Olimpiki ya Beijing ifunguliwe. Michezo hiyo imewaachia mamilioni ya wachina kumbukumbu isiyosahaulika, pia imewaachia wageni wengi kumbukumbu nyingi. Kutokana na mwaliko wa kituo cha habari cha kimataifa cha Beijing 2008, mkurugenzi wa idara ya habari za michezo ya gazeti la "Sunday Mail" la Zimbabwe Bw. Goodwill Zunidza mwaka jana alifanya ziara nchini China mara mbili, na kukusanya habari katika kipindi cha Michezo ya Olimpiki ya Beijing. Hivi karibuni Bw. Goodwill alipohojiwa na mwandishi wetu wa habari alikumbusha kuhusu aliyoyaona katika kipindi hicho akisema, haitasahau Michezo ya Olimpiki ya Beijing na michezo hiyo imemwachia kumbukumbu nyingi.
    • Vyombo vya habari vya China na Afrika vyajadiliana kuhusu kuimarisha zaidi ushirikiano kati yao 2009-08-14
    Maofisa wa habari wa serikali na waandishi wa habari kutoka nchi 24 za Afrika na wajumbe wa vyombo 9 vya habari vya China vikiwemo Shirika la habari la China Xinhua, gazeti la Renminribao na Radio China Kimataifa walihudhuria kongamano hilo, ambapo walijadiliana kuhusu kuimarisha mawasiliano na ushirikiano kati ya vyombo vya habari, na kuzidisha urafiki wa jadi kati ya China na Afrika.
    • Wafanyakazi wa KBC watembelea idhaa ya kiswahili CRI 2009-08-07
    Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Kenya KBC Bwana Amosi Omondi anayetoka idara ya Ufundi, na Bwana Masha Mbura anayetoka chuo cha utangazaji cha Shirika la Utangazaji la Kenya KBC, wamekuja hapa Beijing kushiriki kwenye semina inayohusu teknolojia za Utangazaji kwa nchi zinazoendelea, inayowashirikisha watu wanaofanya kazi kwenye vyombo vya habari kutoka nchi za Asia, Afrika na Amerika kusini.
    • Shirika la Kiswahili la Chuo kikuu cha lugha za kigeni cha Tianjin 2009-07-24
    Mwaka 2007 Chuo kikuu cha lugha za kigeni cha Tianjin kilianzisha kozi ya lugha ya Kiswahili, hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa chuo hicho kuanzisha kozi hiyo katika historia yake.Mkurugenzi wa kitivo cha lugha ya Kiswahili cha Chuo kikuu cha lugha za kigeni cha Tianjin Bi. Rui Jufen alisema, katika miaka ya hivi karibuni watu wenye ujuzi wa lugha ya Kiswahili wamekuwa wanahitajiwa zaidi kutokana na ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika, hivyo chuo hicho kiliamua kuanzisha kozi ya lugha ya Kiswahili.
    • Walimu wa Chuo kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing wafanya juhudi katika ufundishaji na utafiti wa lugha ya Kiswahili 2009-07-17
    Pro. Sun aliwahi kusoma na kufanya kazi kwa miaka 7 nchini Tanzania na Kenya, katika kipindi hicho alitambua umuhimu wa kutunga vitabu vya kufundisha Kiswahili vinavyowafaa wanafunzi wa China
    • Wanafunzi wa lugha ya Kiswahili katika chuo kikuu cha mawasiliano ya habari cha China 2009-07-10
    Hivi sasa barani Afrika waafrika wengi zaidi wanajifunza lugha ya Kichina, lakini je mnajua nchini China pia kuna watu wengi wanaojifunza lugha ya Kiswahili?
    • Kuanzisha shughuli barani Afrika ili kampuni zijiendeleze kwa kasi 2009-05-01
    Kadri msukosuko wa fedha wa dunia ulioanzia nchini Marekani unavyozidi kuwa mbaya, ndivyo athari yake inavyozidi kuwa kubwa katika sehemu nyingi na mambo mengi duniani. Katika msukosuko huo uchumi wa China hauwezi kuepuka na athari hizo hasa katika sekta ya uuzaji bidhaa nje. Ingawa kampuni zote zinakabiliwa na hali mbaya ya uchumi, lakini baadhi yao ziliendelea kupata faida kubwa. Hivi karibuni mwandishi wa habari alitembelea kampuni ya Sunda ya Guangzhou inayojiendeleza vizuri.
    • Wakulima waliopoteza ajira mijini waanzisha shughuli zao 2009-04-16
    Miongoni mwa wakulima wapatao elfu 50 waliopoteza ajira na kurudi kwao wilayani Kaixian, baadhi yao wanajitahidi kutafuta ajira na wengine wenye uzoefu na akiba wameanza kuanzisha shughuli zao zinazolingana na hali halisi ya kwao.
    • Mwalimu Magreth Komba azungumzia mambo ya elimu 2009-04-10
    Bi. Magreth Komba ni mzaliwa wa Tanzania katika mkoa wa Ruvuma ambao uko kusini mwa Tanzania. Alisomea masomo yake ya ualimu katika chuo kikuu cha Mpwapwa. Baadaye akahamia chuo cha ualimu cha Dar es Salaam kwa mafunzo ya diploma, kwa hiyo alipata stashahada nzuri ya kumwezesha kuwa mkufunzi wa chuo cha ualimu na shule ya sekondari.
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako