• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • China na Kenya zafikia makubaliano ya kufadhili kwa pamoja mradi wa ujenzi wa reli 2014-05-12
    Serikali za China na Kenya zimesaini makubaliano mapya ya ujenzi wa reli itakayounganisha miji ya Nairobi na Mombasa. Makubaliano hayo yamesainiwa wakati wa ziara ya siku tatu ya waziri mkuu wa China Li Keqiang nchini Kenya.
    • Bw. Li Keqiang na rais wa Kenyatta wafanya mazungumzo 2014-05-11
    • Mkutano wa kilele wa kuhusu uchumi wa Afrika wajadili njia ya maendeleo ya Afrika 2014-05-10
    Mkutano wa kilele kuhusu Afrika wa Baraza la uchumi wa dunia ulimalizika jana huko Abuja, Nigeria. Katika mkutano huo wa siku 3, wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa wapatao 900 kutoka nchi zaidi ya 70 duniani walijadili mada mbalimbali zikiwemo namna ya kupata maendeleo ya haki na usawa, jinsi kuongeza nafasi za ajira na mwelekeo wa uchumi wa Afrika.
    • Hotuba iliyotolewa na waziri mkuu wa China kwenye Baraza la uchumi la dunia yavutia mwitikio mkubwa 2014-05-09
    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang ambaye alikuwa ziarani nchini Nigeria jana alitoa hotuba kwenye mkutano wa 24 wa kilele wa Afrika wa Baraza la uchumi la dunia unaofanyika mjini Abuja, akisisitiza kuwa kujitokeza kwa Afrika kunasaidia amani na maendeleo ya dunia, na ushirikiano wa kunufaishana kati ya China na Afrika na unahimiza maendeleo yenye uwiano ya uchumi wa dunia wenye ongezeko kubwa linalonufaisha watu kwa haki na usawa. Hotuba yake imevutia mwitikio mkubwa.
    • Waziri mkuu wa China atoa hotuba kwenye mkutano wa kilele wa Afrika wa Baraza la uchumi la dunia 2014-05-08
    Nafurahi ujumbe wa serikali ya China ambao si nchi ya Afrika kuhudhuria pamoja nami kwenye mkutano wa kilele wa Afrika wa Baraza la uchumi la dunia. Namshukuru Bw. Klaus Schwab kwa kunialika, na namshukuru rais Jonathan kwa mapokezi mazuri. Kauli mbiu ya mkutano huu ni "Kufaidika na ongezeko la uchumi kwa haki na usawa, na kuleta nafasi za ajira", ambayo inaendana na hali halisi na ina mvuto mkubwa.
    • Waziri wa mambo ya nje wa Nigeria asema urafiki kati ya China na Nigeria unawanufaisha wananchi wa Nigeria 2014-05-07
    Waziri wa mambo ya nje wa Nigeria Bw. Aminu Bashir Wali hivi karibuni amesifu urafiki uliopo kati ya China na Nigeria, na kutumai kuwa uhusiano huo utaendelea kupiga hatua. Bw. Wali alisema hayo jana alipohojiwa na mwandishi wetu wa habari.
    • Balozi wa China nchini Nigeria asema ziara ya waziri mkuu wa China barani Afrika inafuata njia ya urafiki 2014-05-07
    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana ameanza ziara yake nchini Nigeria. Balozi wa China nchini humo Bw. Gu Xiaojie amesema, ziara hiyo ya waziri mkuu Li Keqiang ni ziara inayofuata njia ya urafiki kati ya China na Afrika, na ina maana kubwa.
    • Kampuni ya Huawei ya China yasaidia wanawake elfu moja wa Nigeria wapate uwezo wa kujipatia ajira katika sekta ya mawasiliano ya habari 2014-05-07
    • Ziara ya Bw. Li Keqiang barani Afrika kukuza zaidi ushirikiano kati ya China na Afrika 2014-05-07
    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang anafanya ziara yake barani Afrika, ambapo shughuli za uchumi na biashara zinachukua nafasi kubwa kwenye ziara hiyo. Wizara ya biashara ya China imesema, ziara ya Bw. Li Keqiang itakuza zaidi ushirikiano wenye ufanisi kati ya China na Afrika, na misaada itakayotolewa na China pia itatumika zaidi katika kuboresha maisha ya watu wa Afrika.
    • Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang atoa hotuba kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika 2014-05-05
    Hamjambo? nafurahi sana kuwa hapa Addis Ababa inayosifiwa kuwa ni mji mkuu wa kisiasa wa bara la Afrika, na kutoa hotuba kwenye jumba la mkutano la Umoja wa Afrika ambalo ni alama ya urafiki kati ya China na Afrika. Nawashukuru mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Bi. Nkosazana Dlamini-Zuma na waziri mkuu wa Ethiopia Bw. Hailemariam Desalegn kwa hotuba zenu zenye upendo na uchangamfu, namshukuru mwenyekiti wa zamu wa Umoja wa Afrika rais Abdelaziz kwa kunialika, na naishukuru serikali ya Ethiopia na kamati ya Umoja wa Afrika kwa mapokezi ya ukarimu. Kwa niaba ya serikali ya China na wananchi wake, napenda kutoa salamu za dhati na matumaini mema kwa ndugu zetu wa Afrika!
    • Kampuni ya CRBC ya China yatoa mafunzo ya ujuzi kwa waangola 2014-05-05
    Wimbo huo wa "Maua ya Yasmini" ulioimbwa na wanafunzi 31 wa Angola waliosomea nchini China, ulimkumbusha mambo mengi naibu meneja mkuu wa kampuni ya Ujenzi wa madaraja na barabara ya China CRBC Bw. Du Fei. Katika miaka miwili iliyopita, kwenye sherehe ya kuhitimu masomo, wanafunzi hao wa Angola, ambao walikuwa kikundi cha kwanza cha wanafunzi waliosaidiwa na kampuni ya CRBC kuja kusoma nchini China, pia waliimba wimbo huo kuonesha shukrani zao kwa kampuni na Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Changsha.
    • Ziara ya Waziri Mkuu wa China barani Afrika 2014-05-05

    Kwa mara nyingine tena kiongozi mkubwa wa China atafanya ziara hivi karibuni barani Afrika. Safari hii anayetembelea Afrika ni waziri mkuu wa China Bw Li Keqiang.

    • Waziri mkuu Li keqiang ahojiwa na waandishi wa habari wa Afrika 2014-05-04
    • Jumuiya ya Afrika Mashariki yaweka mikakati kuongeza idadi ya watalii kutoka bara Asia hususan nchini China 2014-05-02
    Sekta ya utalii ni moja wapo ya sekta muhimu za kiuchumi katika mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, lakini sekta hii kwa sasa katika kanda hiyo inashuhudia kupungua kwa watalii kutoka katika mataifa ya Ulaya na Marekani ya Kaskazini.
    • Ziara ya waziri mkuu wa China barani Afrika ni hatua muhimu ya kidiplomasia inayotupia macho Afrika nzima 2014-05-01
    Waziri mkuu wa China Bw Li Keqiang ataanza ziara yake ya kwanza barani Afrika kuanzia jumapili ijayo tangu aingie madarakani mwaka jana akizitembelea Ethiopia, Nigeria, Angola na Kenya. Akizungumzia maana ya ziara hiyo kwa maendeleo ya uhusiano kati ya China na Afrika katika siku zijazo, naibu waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Zhang Ming anasema...
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako