• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Rais Xi Jinping atangaza hatua mpya za China katika kufungua mlango kwenye ufunguzi wa CIIE 2018-11-05
    Rais Xi Jinping wa China amehudhuria na kutoa hotuba kwenye Maonesho ya kwanza ya kimataifa ya uagizaji bidhaa ya China yaliyofunguliwa leo mjini Shanghai. Rais Xi ametangaza kuwa China itaongeza hatua za kufungua mlango, akisisitiza kuwa mafungamano ya kiuchumi duniani ni mwelekeo usiozuilika, nchi zote zinatakiwa kuhimiza ufunguaji mlango na ushirikiano, ili kupata maendeleo kwa pamoja. Pia amesisitiza kuwa China haitasimamisha hatua zake katika kuhimiza ufunguaji mlango katika kiwango cha juu zaidi, kujenga uchumi ulio wazi kwa dunia, na kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja.
    • China inatia nguvu mpya katika kuendeleza pamoja uchumi wa dunia ulio wa kufungua mlango 2018-11-05

    Maonesho ya kwanza ya kimataifa ya bidhaa zinazoingizwa China kutoka nje yamefunguliwa leo huko Shanghai, ambapo nchi, sehemu na mashirika ya kimataifa 172 pamoja na kampuni zaidi ya 3,600 zimeshiriki kwenye maonesho hayo.

    • Dunia nzima yaingia kwenye soko la China kwa kupitia maonesho ya uagizaji bidhaa ya kimataifa ya China 2018-11-04

    Maonesho ya kwanza ya uagizaji bidhaa ya kimataifa ya China yatafunguliwa kesho mjini Shanghai, ambayo yatajenga jukwaa jipya la ushirikiano kwa zaidi ya 3,000 ya kampuni kutoka nchi na sehemu 130, na pia yatatoa fursa mpya kwa nchi mbalimbali kunufaika na maendeleo ya uchumi wa China.

    • Kamati ya kuhimiza usafirishaji nje ya Kenya yasema Kenya itanufaika na mafanikio ya maendeleo ya uchumi wa China 2018-11-03

    Mwenyekiti wa kamati ya kuhimiza usafirishaji nje ya Kenya Bw. Peter Biwott hivi karibuni alipohojiwa na mwandishi wetu wa habari alisema, Maonesho ya uagizaji bidhaa ya kimataifa ya China yatakayofanyika huko Shanghai, China, yamefungua njia kwa dunia nzima kuuza bidhaa kwa China, na dunia nzima itanufaika na maendeleo ya uchumi wa China.

    • Ongezeko la thamani ya biashara ya utoaji wa huduma nchini China laleta manufaa makubwa 2018-09-10

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Wizara ya biashara ya China zimeonesha kuwa, katika miezi saba ya mwanzo ya mwaka huu, thamani ya jumla ya uagizaji na uuzaji wa biashara ya utoaji wa huduma imefikia dola za kimarekani bilioni 437.5, ikiwa ni ongezeko la asilimia 9.9 ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako