• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 3-Oktoba 9)

    (GMT+08:00) 2020-10-09 16:08:35

    Kenya yafikiria kutumia app ya simu ya mkononi kukusanya kodi za bidhaa zinazoingizwa ili kukuza biashara ya kimataifa

    Kenya inapanga kutengeneza app ya simu ya mkononi ili kukusanya kodi za bidhaa zinazoingizwa na kutoka nchini humo ili kuchochea biashara ya kimataifa.

    Kamishna msaidizi wa Mamlaka ya Mapato nchini Kenya (KRA) Caxton Masudi amewaambia wanahabari jijini Nairobi kuwa, mfumo huo wa simu za mkononi utawezesha wafanyabiashara wa mpakani kufuatilia mchakato wa forodha katika wakati husika.

    Ameongeza kuwa app hiyo itaingizwa kwenye majukwaa ya malipo katika simu za mkononi na kwenye mfumo wa kibenki ili kuruhusu wafanyabiashara kulipia kodi za kuingiza na kusafirisha bidhaa kwa njia za kidijitali.


    1  2  3  4  5  6  7  8  9  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako