• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Aprili 28-Mei 4) 2018-05-04

    1. Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un akutana na waziri wa mambo ya nje wa China

    2. Dhlakama kiongozi wa RENAMO afariki

    3.Kampeni za kura ya maoni zaanza rasmi Burundi

    4.Watu 24 wauwawa Jamhuri ya Afrika ya kati

    5.Amisom waokoa watu 10,000 waliothiriwa na mafuruko Somalia

    6. Bunge Gabon la lavunjwa

    7. Wakimbizi wa Somalia zaidi ya elfu 78 warudi nyumbani kwa hiari kutoka Kenya tangu mwaka 2014

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Aprili 21-Aprili 27) 2018-04-27

    1Maandamano mapya yaibuka Madagascar
    2Zaidi ya watu 15 wauawa kwenye shambulizi kanisani Nigeria
    3Ramaphosa asitisha ziara machafuko yakigubika Magharibi mwa nchi
    4Chama tawala cha Zambia chakaribisha ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa
    5Macron ahitimisha ziara Marekani
    6Rais wa Sudan Kusini amekataa wito wa upinzani wa kuachia madaraka
    7Iran yatishia kujitoa kwenye mkataba wa kutoeneza silaha za nyuklia

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Aprili 14-Aprili 20) 2018-04-20
    1.Mfalme wa Swaziland abadili jina la nchi
    2.Maelfu ya wauguzi wanaogoma wafukuzwa kazi Zimbabwe
    3.Jeshi la Somalia laua wapiganaji kadhaa wa Al-Shabab kusini mwa nchi hiyo
    4.Askari auawa,20 wajeruhiwa baada ya shambulizi Timbuktu nchini Mali
    5.Kiongozi wa waasi wa zamani Liberia ahukumiwa miaka 30 jela Marekani
    6.Uchaguzi mkuu wa Uturuki kufanyika mwezi Juni
    7.Sheria ya kufanya ukaguzi bila kibali yapitishwa Burundi
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Aprili 7-Aprili 13) 2018-04-13
    1,Ajali ya  ndege ya kijeshi yauwa 257 Algeria
    2,Rais wa Sudan aamuru kuachiwa huru kwa wapinzani wote wa kisiasa
    3,Aliyekuwa mkuu wa jeshi la Sudan Kusini aunda kundi jipya la waasi
    4,Nchi za Ulaya kuwafukuza wanadiplomasia zaidi wa Urusi
    5,Zimbabwe yazialika nchi zaidi ya 40 kushuhudia uchaguzi mkuu
    6,Spika wa bunge la Somalia ajiuzulu kutokana na mgogoro wa kisiasa
    7,Watu 16 wafariki katika milipuko miwili mjini Mogadishu
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 31-Aprili 6) 2018-04-06

    1.Park Geun-hye ahukumiwa miaka 24 kwa makosa ya rushwa 2.Raia wa wafukuzwa Australia

    3.Miili ya wanajeshi nane wa Uganda waliouawa Somalia imerejeshwa nyumbani

    4.Luiz Inacio Lula da Silva kufungwa miaka 12 jela

    5.Trump atishia kuongeza ushuru wa dola bilioni 100 za kimarekani dhidi ya bidhaa za China

    6.Rais Ian Khama wa Botswana ajiuzulu

    7.Kiongozi wa upinzani nchini Sierra Leone achaguliwa rais

    8.Kesi ya Zuma yaahirishwa

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 24-March 30) 2018-03-30
    1,Wanadiplomasia 60 wa Marekani watimuliwa Urusi
    2,Watu 10 wauawa katika shambulizi lililofanywa na waasi wa Uganda mashariki mwa DRC
    3,Sisi ashinda uchaguzi wa rais nchini Misri kwa kupata asilimia 92 ya kura
    4,Abiy Ahmed achaguliwa kuwa waziri mkuu mpya Ethiopia
    5,Burundi, Tanzania na UNHCR zajadili kuharakisha kurudishwa kwa wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania
    6,Wapiganaji 20 wa Taliban wauawa mashariki mwa Afghanistan
    7,Viongozi wa Korea Kusini na Korea Kaskazini kukutana mwezi ujao huko Panmunjom
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 17-March 23) 2018-03-23
    1.Wasichana 100 waliotekwa Nigeria waachiliwa
    2.Rais wa Myanmar ajiuzulu
    3.Nchi za Afrika zasaini makubaliano ya kuanzisha eneo la soko huria
    4.Putin achaguliwa tena kuwa rais wa Russia
    5.Watu 14 wapoteza maisha katika shambulio la bomu 6.Mogadishu
    6.Rais Mnangagwa awaachia huru wafungwa 3000
    7.Sarkozy ashtakiwa rasmi kwa rushwa
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 10-March 16) 2018-03-16
    1. Robert Mugabe asema hakutegemea kuondolewa madarakani

    2. Watu 12 wafariki Ajali ya helikopta Senegal

    3. Waziri wa mambo ya nje wa marakenani afutwa kazi

    4. Rais wa Mauritius akataa kujiuzulu kwa madai ya ufisadi

    5. Jeshi la Somalia lawaua wapiganaji 7 wa Al-Shabaab

    6. Zaidi ya watu elfu 39 wapoteza makazi yao kusini mwa Ethiopia

    7. Mshindi wa urais nchini Sierra Leone kuamuliwa kupitia duru ya pili

    8. Moise Katumbi kurejea nchini DRC mwezi Juni

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 3-March 9) 2018-03-09

    1.Museveni amfuta kazi mkuu wa polisi na waziri wa usalama

    2. Naibu wake Okoth Ochola anashikilia wadhifa huo.

    3.Wachungaji 6 wa makanisa yaliyofungwa Rwanda wakamatwa

    4.Rais wa Zimbabwe aeleza wasiwasi kuhusu uhusiano kati ya Mugabe na chama cha upinzani

    5.Wakimbizi 2,500 wa Burundi nchini DRC wavuka mpaka na kuingia Rwanda

    6.Waziri mkuu wa Libya ataka jeshi liunganishwe kwa ajili ya usalama wa taifa

    7.Jeshi la Syria lapata maendeleo makubwa huko Ghouta Mashariki

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Februari 24-March 2) 2018-03-02

    1Askari wanne wa Umoja wa Mataifa wauawa Mali

    2Rwanda yaanza kufungia makanisa 700 kwa kutotimiza masharti yaliyowekwa

    3Watu 108 waokolewa katika ajali ya boti DRC

    4Rais wa Zimbabwe aondoa wasiwasi wa wawekezaji wakati uchaguzi mkuu unapokaribia

    5Homa ya Lassa nchini Nigeria yasababisha vifo vya watu 72

    6Magaidi 23 wa Al Shabab wauawa baada ya kushambuliwa na wanajeshi wa AMISOM

    7Rais wa zamani wa Korea Kusini akabiliwa na kifungo cha miaka 30

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Februari 17-Februari 23) 2018-02-23
    1.Wakimbizi 9 wafariki nchini Uganda kutokana na mlipuko wa kipindupindu
    2.Baadhi ya wanafunzi waliotekwa na Boko Haram wapatikana
    3.Mabaki ya ndege ya Iran iliyoanguka yapatikana
    4.Serikali ya Ethiopia imetangaza hali ya tahadhari
    5.Polisi 5 na askari 1 wauawa na watu wenye silaha Afrika Kusini
    6.Abiria zaidi ya bilioni 1.4 wa China wasafiri kwenye sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China
    • Jacob Zuma ajiuzulu 2018-02-16
    Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejiuzulu wiki hii siku moja tu kabla ya bunge kujadili hoja ya kutokuwa na imani yake na pia baada ya shinikizo nyingi kutoka kwa chama chake cha ANC.
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Februari 3-Februari 9) 2018-02-09

    1.Mazungumzo ya amani kati ya serikali na waasi wa Sudan kuisni yagonga mwamba

    2.Gambia yajiunga tena na Jumuiya ya Madlola

    3.Kiongozi wa kundi la waasi ajisalimisha kwa vyombo vya usalama DRC

    4.Burundi yaishutumu UNHCR kwa kughushi takwimu za wakimbizi

    5.Serikali ya jimbo la Kurdistan yakamata wapiganaji elfu 4 wa IS

    6.Rais wa Maldives atangazwa siku 15 za hali ya hatari huku Rais wa zamani akikamatwa

    7. Mwanasiasa wa upinzani Kenya afurushwa na kupelekwa Canada.

    8.China yasema tathmini ya msimamo wa nyuklia wa Marekani umechepuka kutoka kwenye amani na maendeleo

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 29-Februari 2) 2018-02-02

    AU yakamilisha mkutano wake Addis

    Marekani yawapa wakimbizi wa Syria ruhusa kuishi nchini humo

    Kenya kuanza uchunguzi kuhusu kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani

    Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa laongeza vikwazo dhidi ya

    Mawaziri wakuu wa China na Uingereza wazungumza na wajasiriamali kutoka nchi hizo mbili

    UNICEF yasema watoto 378,000 wanahitaji msaada wa haraka wa kibinadamu katika mwaka 2018

    Somalia na Umoja wa Mataifa zazindua mpango wa kuboresha maisha ya wakimbizi wa ndani

    Maelfu ya raia wahama makazi yao kufuatia mapigano mashariki mwa DRC

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 20-26) 2018-01-26
    1.Rais wa Zimbabwe asema uchaguzi mkuu kufanyika kabla ya Julai
    2.Shambulio la kigaidi laua watu 27 Libya
    3.Rais mpya wa Liberia George Weah  aapishwa
    4.Rais wa Somalia amfuta kazi Meya wa jiji la Mogadishu
    5.Mapambano dhidi ya ufisadi kuwa ajenda kuu kwenye mkutano wa AU
    6.Watu 20 wauwawa hotelini mjini Kabul, Afghanistan
    7.Baraza la uchumi duniani latoa mwito wa ushirikiano kati ya pande mbalimbali ili kukabiliana na changamoto za dunia
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 13-19 Januari) 2018-01-19

    1Vikosi vya Somalia vyatwaa mji wa kusini wa Bar-Sanguni

    2Zimbabwe inajipanga kushirikiana tena na nchi za magharibi

    3Serikali ya Congo-Brazzaville yakutana kwa mazungumzo na waasi

    4Watu wasiopungua 20 wauawa katika mapigano Libya

    5Marekani kuendelea kudumisha uwepo wa kijeshi nchini Syria

    6Walinzi wa pwani wa Libya waokoa wahamiaji haramu 234

    7Waziri wa mambo ya nje wa China amaliza ziara yake barani Afrika

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 6-12 Januari) 2018-01-12

    1.Guniea ya Ikweta yasema uasi uliozimwa mwishoni mwezi uliopita yalipangwa nchini Ufaransa

    2.Mali yaomboleza watu 48 waliokufa maji Libya

    3.Watu 10 watekwa nyara Beni, DRC

    4.Wapiganaji zaidi ya 107 wa kundi la Boko Haram wauawa katika operesheni ya jeshi la Nigeria

    5.Waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara barani Afrika

    6.Kesi ya Bemba kusikilizwa katika mahakama ya Rufaa ICC

    7.Watu 2,500 wapoteza makazi kutokana na mvua kubwa katikati ya Tanzania

     

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (30 Desemba-5 Januari) 2018-01-05

    1.Watu 12 wafariki kwenye ajali ya treni Afrika Kusini

    2. Jeshi la Equatorial Guinea lasema lilizima jaribio la mapinduzi

    3. Waziri mkuu wa Somalia awafuta kazi mawaziri watatu

    4. Wafungwa wa kisiasa waachiliwa Ethiopia

    5. Mamia ya watu wakimnbia mapigano CAR

    6. Wapiga kura milioni 1.9 wajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi Libya

    7. Waziri wa mambo ya nje wa Zambia ajiuzulu

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (23 Desemba-29 Desemba) 2017-12-30
    1.Wizara ya afya nchini Kenya yapiga marufuku uvutaji wa shisha
    2.Reli ya Chini kwa Chini mjini Jerusalem kupewa jina Donald Trump
    3.Aliyekuwa mchezaji wa soka George Weah ashinda uchaguzi wa urais Liberia
    4.Mahakama ya Cameroon yaamuru kuachiwa huru kwa mwandishi anayedaiwa kumtishia maisha rais
    5.Shambulizi Kabul limewaua watu 40
    6.Shirika la American Airlines lawaomba msamaha wachezaji wawili wa mpira wa kikapu kwa kufukuzwa kutoka kwa ndege kwa kushukiwa kuwa wezi
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (15 Desemba-22 Desemba) 2017-12-22
    1.Rais mpya wa Zimbabwe ahimiza wazimbabwe wanaoishi ng'ambo kurudi nyumbani

    2.Vyama vinavyounga mkono Catalonia vyashinda uchaguzi

    3.Marekani yakosa kuungwa mkono na UN kuhusu swala la Israel

    4.Uchunguzi wa chanzo cha mauaji ya kimbari Rwanda wakamilika

    5.Naibu waziri Uingereza ajiuzulu kuhusu Picha za ngono

    6.Bunge Uganda lapitisha mabadiliko ya ukomo wa umri wa Rais

    7.Mtoto wa dos Santos kwa tuhuma za ufisadi Angola

    8.Watu zaidi ya milioni 40 wakabiliwa na njaa kutokana na machafuko Mashariki ya Karibu

    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako