• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 16-March 22) 2019-03-22
    1.Kimbunga Idai chasababisha maafa na uharibifu mkubwa Msumbiji, Malawi na Zimbabwe
    2.New Zealand kupiga marufuku silaha  zenye muundo wa kijeshi
    3.Brexit kuahirishwa hadi Mei 22 ikiwa mpango wa uahirishaji utapitishwa na wabunge wa Uingereza
    4.Sudan yakumbwa na maandamano mapya
    5.Kampuni ya Boeing yarejea ahadi yake ya usalama wa ndege kufuatia ajali ya ndege ya Ethiopia
    6.Maonesho ya mafanikio ya jeshi la China kulinda amani ya dunia yaanza kwenye makao makuu ya AU
    7.Jeshi la Somalia ladhibiti tena mji wa Bal'ad uliokaliwa na kundi la Al-Shabaab
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 9-March 15) 2019-03-15
    1.Watu 49 wauwawa kwenye mashambulizi dhidi ya misikiti New Zealand
    2.Rwanda yapiga marufuku Boeing 737 Max katika anga yake
    3.Waziri Mkuu wa Algeria asema serikali mpya itaundwa hivi karibuni
    4.Mkutano wa nne wa Mazingira wa UM wapitisha mipango ya kukabiliana na changamoto zinazokabili mazingira
    5.Wanafunzi 12 wafariki baada ya jengo kuanguka nchini Nigeria
    6.Wapiganaji 16 wa kundi la Al-Shabaab wauawa kusini mwa Somalia
    7.Visanduku vyeusi vya ndege ya Ethiopia iliyoanguka vyapelekwa Ufaransa kwa uchunguzi
    8.Wabunge Uingereza wapinga mpango wa kujiondoa EU
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 1-March 8) 2019-03-08
    1.Maandamano ya kupinga urais wa Bouteflika yaendelea Algeria
    2.Rais wa Iran apongeza vikosi vya usalama vya Iraq kwa kushinda ugaidi
    3.Ethiopia na washirika wake watoa mwito wa msaada wa dola bilioni 1.3 kwa watu milioni 8.3 kwa mwaka huu
    4.Kenya yasema huduma za ndege zarejea kama kawaida kwenye uwanja wa ndege wa Nairobi
    5.Aliyekuwa meneja wa kampeni za Trump afungwa
    6.Kabila na Tshisekedi wakubaliana kuunda serikali ya muungano
    7.Rais wa Ufaransa kuzuru Djibouti, Ethiopia na Kenya
    8.Wang Yi asema, China na Afrika zitajenga jumuiya ya mustakabali wa pamoja yenye uhusiano wa karibu zaidi
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February23-March 1) 2019-03-01
    1Moto wauwa 20 katika kituo cha treni Cairo
    2Trump na Kim wakosa mwafaka
    3Umoja wa Mataifa wakataa miswada iliyotolewa na Marekani na Russia kuhusu suala la Venezuela 
    4Marekani na kundi la Taliban nchini Afghanistan zaendelea kufanya mazungumzo kuhusu kuondoa majeshi
    5Chama kikuu cha upinzani cha Nigeria chakataa matokeo ya uchaguzi wa urais
    6Ndege mbili za India zadenguliwa na Pakistan
    7Waasi wa zamani wa M23 warejea DRC
    8Moto wateketeza msitu mlima Kenya
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 16-February 22) 2019-02-22

    1.Museveni kuwania urais mwaka 2021.

    2.Joseph Kabila akutana na wawakilishi wa muungano wa vyama tawala

    3.Rais wa Somalia azuru Burundi

    4.Mawaziri wa mambo ya nje wa China na Djibout wakutana

    5.Wabunge saba wajiuzulu Uingereza

    6.Pande hasimu Yemen zakubaliana awamu ya kwanza ya uondoaji vikosi Hodeidah

    7.Sanders kuwania urais Marekani

    8.Juan Guaido, asema msaada wa dharura kutoka Marekani utaingia nchini Venezuela tarehe 23

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 9-February 15) 2019-02-15

    1.Tume ya Taifa ya Uchaguzi DRC yakagua hali ilivyo Yumbi

    2.Zaidi ya wafanyakazi 6,000 nchini Afrika Kusini huenda wakapoteza ajira kutokana na marekebisho ya Kampuni ya Sibanye-Stillwater

    3.Ripoti mpya ya Umoja wa mataifa yaonesha ongezeko la njaa Afrika

    4.Mkuu wa zamani wa jeshi la anga la Zambia akamatwa kwa tuhuma za ufisadi

    5.Rais wa Kenya aamuru wauguzi warudi kazini

    6.Watu 5 wafariki kwenye ajali ya ndege ndogo Kenya

    7.Venezuela yatafuta uungaji mkono wa kimataifa katika UM

    8.Nigeria yapiga kura ya urais

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 2-February 8) 2019-02-08
    1.China yakaribisha mwaka mpya wa jadi
    2.Serikali ya CAR na makundi 14 yasaini rasmi makubaliano ya amani
    3.Watu watano wafariki kutokana na shambuzi la kigaidi mjini Mogadishu
    4.Rais Trump amteua naibu waziri wa fedha Malpass kuongoza Benki ya Dunia
    5.Ufaransa yamwita nyumbani balozi wake wa nchini Italia kufuatia mashambulizi ya mara kwa mara
    6.Watu 26 wafungwa kwa hatia ya kuhamasisha vyombo vya habari vinavyoipinga serikali ya Misri
    7.Laurent Gbagbo awasili Ubelgiji
    8.Rais wa Kenya aahidi kuisadia DRC kurejesha utulivu wa kisiasa
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 26-February 2) 2019-02-01

    1Rais wa Venezuela ailaani Marekani kwa kuweka vikwazo dhidi ya kampuni ya mafuta ya Venezuela

    2Duru mpya ya Mazungumzo ya kibiashara kati ya China na Marekani yafunguliwa Washington

    3Watu zaidi ya 60 wauawa katika mashambulizi nchini Nigeria

    4UN yasema Ebola imeenea kwenye "eneo la hatari kubwa ya kiusalama" DRC

    5Zaidi ya watu 130 hawajulikani walipo baada ya kuzama kwa mashua mbili pwani mwa Djibouti

    6Kenya yaimarisha usalama kwenye mpaka na Somalia ili kukabiliana na ugaidi

    7Rais wa Zimbabwe aunda kikosi kazi kushughulikia vurugu za baada ya uchaguzi

    8China yaitaka Marekani kuacha kuikandamiza kampuni ya Huawei

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 20-January 25) 2019-01-25

    1.Tshisekedi aapishwa

    2.Venezuela yakatisha uhusiano wa kibalozi na kisiasa na Marekani

    3.Patrice-Edouard Ngaïssona, awasilishwa katika mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).

    4.Mzozo wa kupanda kwa bei ya mafuta watokota Zimbabwe

    5.Kikosi cha Nigeria chawaangamiza majambazi 58 katika sehemu ya kaskazini ya nchi

    6.China yaitaka Canada kumwachia huru Bibi Meng Wanzhou mara moja

    7.Mazungumzo kati ya Korea Kaskazini na Marekani yamalizika nchini Sweden

    8.Theresa May asema ataendelea na mpango wa awali kuhusu Brexit

     

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 12-January 19) 2019-01-18
    1Zaidi ya watu 20 wauwawa kwenye shambulizi la kigaidi Kenya
    2Watu 900 wameuawa ndani ya siku tatu mwezi uliopita DCR
    3Wabunge wa Uingereza wapinga mkataba wa kujitoa katika Umoja wa Ulaya
    4Fatou Bensouda akata rufaa dhidi ya uamuzi wa kuachiliwa kwa Laurent Gbagbo
    5China yaitaka Canada kuheshimu mamlaka ya kisheria wa China
    6Ali Bongo arejea nyumbani
    7Wapiganaji 800 wenye silaha wamekamatwa nchini Ethiopia wakati hali ikiendelea kuwa ya wasiwasi
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 5-January 11) 2019-01-11
    1.Felix Tshisekedi ashinda uchaguzi wa urais DRC
    2.Marais wa China na Korea Kaskazini wafanya mazungumzo
    3.Watu 171 wakamatwa kutokana na vurugu za kikabila Ethiopia
    4.Jimbo linalojiendesha la Puntland nchini Somalia lachagua rais mpya
    5.Kuondoka kwa vikosi vya Marekani nchini Syria kwatajwa kutoathiri mapambano ya dhidi ya kundi la IS
    6.Rais wa Nigeria aahidi uchaguzi huru na wa haki
    7.Waziri mkuu wa Uingereza asisitiza makubaliano ya Brexit yapigiwe kura wiki ijayo kama ilivyopangwa
    8.Bunge la Marekani lapitisha muswada kumaliza kufungwa kwa serikali
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Desemba 30-January 4) 2019-01-04

    1Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na mwenzake wa Ethiopia

    2AMISOM yawaua wapiganaji 7 wa Al-Shabab kusini mwa Somalia

    3Bunge jipya la Marekani laanza vikao likiwa limegawanyika

    4Kiongozi wa Korea Kaskazini asema ataendelea na mpango wa kuondoa silaha za nyuklia

    5Askari 5 wafariki kwenye ajali ya helikopta Nigeria

    6Bolsonaro aapishwa kuwa rais wa Brazil

    7Ethiopia yawasamehe wafungwa zaidi ya 500 kwenye msimu wa Krismasi

    8Sudan yatarajia kupunguza mfumuko wa bei hadi kufikia asilimia 27.1 mwaka 2019

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Desemba 22-Desemba 29) 2018-12-28
    1Andry Rajoelina ashinda uchaguzi wa urais Madagascar
    2Watu 19 wauawa kwenye maandamano Sudan
    3Zaidi ya watu 400 wauawa na tsunami nchini Indonesia
    4Uchaguzi wa DRC waahirishwa katika baadhi ya maeneo
    5Al-Shabab yawaachia Wakenya wawili baada ya kuwashikilia kwa siku 5
    6Uturuki iko tayari kuendelea kupambana na IS nchini Syria baada ya askari wa Marekani kuondoka
    7Ujumbe wa serikali ya Yemen wafika Hodeidah kujiunga na ujumbe unaoongozwa na UN kusimamia usimamishaji vita
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Desemba 15-Desemba 21) 2018-12-21

    1.Vikosi vya Somalia na AMISOM kufanya operesheni ya pamoja kuwatimua wapiganaji wa Al -Shabaab

    2.Watu 45 wauwawa kwa mapigano DRC

    3.Charles Michel ajiuzulu kama waziri mkuu wa Ubelgiji

    4.Jeshi la Rwanda lawaokoa raia 74 waliotekwa na waasi

    5.Makubaliano ya kusitisha vita yatekelezwa Hodeidah, Yemen

    6.Jumuiya ya kimataifa inafuatilia hotuba ya Xi Jinping kwenye mkutano wa kuadhimisha sera ya mageuzi na kufungua mlango

    7.Ethiopia yaanza kuaondoa wanajeshi wake kwenye mpaka na Eritrea

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Desemba 8-Desemba 14) 2018-12-14

    1.Spika wa bunge la Somalia aapa kuendelea na kura ya kutokuwa na imani na rais

    2.Majengo ya tume ya uchaguzi yateketea DRC

    3.Rais Paul Biya atoa msamaha kwa wanaharakati 289

    4.Rais Emerson Mnangagwa wa Zimbabwe asema hakuna uwezekano wa kuunda serikali ya umoja

    5.Waziri mkuu wa Ethiopia aeleza dhamira ya kuwafikisha mbele ya sheria wanaokiuka haki za binadamu

    6.Afrika Kusini yajiunga na mpango wa soko huria la Afrika

    7.Ali Bongo Ondimba aruhusiwa kuondoka hospitali

    8.China yapeleka askari 100 wa kulinda amani nchini Sudan

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Desemba 1-Desemba 7) 2018-12-07

    1.Diane Rwigara na mamake Adeline Rwigara waachiliwa huru

    2.Uganda yataka kushirikiana na DRC kupambana na Ebola

    3.Polisi Ethiopia wakamata watuhumiwa wanaohusika na vurugu za hivi karibuni

    4.Kura ya maoni kuhusu katiba kupigwa Februari

    5.Wakimbizi 193 wa Nigeria nchini Libya warudishwa makwao kwa hiari

    6.Ndege mbili za jeshi la Marekani zagongana Japan

    7.Makundi ya waasi yasaini makubaliano ya mazungumzo ya amani Sudan

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 17-Novemba 23) 2018-11-23
    1Kampeni za uchaguzi mkuu DRC zaanza
    2Msuya ateuliwa Naibu Katibu Mkuu na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa UNEP
    3Bunge la Ethiopia lamteua kiongozi wa zamani wa upinzani kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
    4Raia wa Italia atekwa Pwani ya Kenya
    5Pande husika za mapigano ya Yemen zatarajiwa kufanya mazungumzo ya amani mwanzoni mwa Desemba huko Sweden
    6Waziri mkuu wa Israel atakuwa waziri wa ulinzi wa nchi hiyo
    7Uingereza yamteua waziri mpya wa kushughulika masuala ya Brexit
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 3-Novemba 9) 2018-11-09
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 27-Novemba 2) 2018-11-02
    1.Uganda kutoa chanjo ya Ebola
    2.Zimbabwe yagundua uwezekano mkubwa wa kuwa na mafuta na gesi
    3.Mwanamfalme wa Saudia anamchukulia Khashodi kuwa mshirika kwa itikadi kali
    4.China kuwa mwenyekiti wa zamu wa baraza la UM
    5.Kisanduku cheusi cha ndege ya Indonesia iliyopata ajali chapatikana
    6.Sudan Kusini yasherehekea makubaliano ya amani
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 20-Oktoba 26) 2018-10-26
    1.Sahle-Work Zewde achaguliwa rais Ethiopia

    2. Ebola yauwa 159 DRC

    3.Zanzibar yakumbwa na uhaba wa mafuta

    4.NATO yafanya mazoezi makubwa zaidi ya kijeshi tangu Vita Baridi

    5.Theresa May asema Uingereza na Umoja wa Ulaya wamekubaliana kwa asilimia 95 juu ya makubaliano ya Brexit

    6.Raila Odinga achaguliwa Mjumbe mpya wa Umoja wa Afrika kuhusu miondo

    7.IMO laandikisha zaidi ya watu 32,000 waliokosa makazi nchini Sudan Kusini

    8.Mji wa Kaduna Nigeria wawekewa matakaa ya kutotoka nje

    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako