Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (10 Julai-14 Julai) 2017-07-14 1.Rais wa Sudan Kusini awafukuza kazi majaji wa ngazi ya juu wakati mgomo ukiendelea 2.Chama tawala Rwanda kuanza kampeni za urais 3.Rwanda yashutumiwa kwa kuwaua 37 wenye makosa madogo 4.Rais wa Somalia atoa mwito kwa bunge kuharakisha kazi ya kupitia katiba 5.UN yagundua makaburi 38 katika mkoa wa Kasai 6.Aliyekuwa rais wa Brazil Lula da Silva ahukumiwa miaka tisa jela 7.Rais wa zamani Abdulaye Wade arejea nyumbani kuwania ubunge 8.Jeshi la Marekani lasema bado haliwezi kuthibitisha kifo cha kiongozi wa kundi la IS 9.Uingereza yaulaumu Umoja wa Ulaya kwa kudai malipo makubwa ya Brexit |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Juni-7 Juni) 2017-07-10 Jeshi la Niger laua raia 14 kimakosa Wanane wauwawa kwenye mkanyagano Malawi Afrika Kusini ilistahili kumkamata Bashir Somalia kuwakagua wapiganaji waliojitenga na kundi la Al-Shabaab Mawaziri wa mambo ya nje wa Afrika na Umoja wa Ulaya waanzisha mpango mpya wa uhamiaji mjini Rome Watu 80 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Jamhuri ya Afrika ya Kati Tanzania yaiomba DRC kusaidia raia wake 21 waliotekwa nyara waachiwe Syria yaishutumu Uturuki kuweka kituo cha kijeshi kaskazini mwa Syria |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (24 Juni-30 Juni) 2017-06-30 1.Botswana yaomboleza kifo cha Ketumile Masire kwa siku 3 2.Kiongozi wa upinzani Zambia amesema anaendelea vema kuzuizini 3.Jeshi la Iraq latwaa msikiti wa Al-Nuri mjini Mosul 4.Scotland yasema haitapiga kura za maoni kuhusu kujitenga na Uingereza kabla ya Brexit 5.Waziri mkuu wa zamani wa Israel kuachiliwa 6.Umoja wa Ulaya waongeza muda wa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Russia kwa miezi sita 7.Trump na Putin kukutana wiki ijayo G20 8.Jeshi la Somalia lawaua wapiganaji 6 wa Al-Shabaab
|
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (16 Juni-23 Juni) 2017-06-23 1-Shambulizi la Kigaidi Somalia 2-Baraza la binadamu lapitisha azimio la China 3-Watu 3 wauwawa na Al sahabaab Somalia 4-Donald Trumb akutana na Yang Jiechi wa China 5-Nchi za kiarabu zaipatia Qatar masharti 6-Korea Kusini yafanya tena jaribio la silaha zake 7-Umaskini kupungua Duniani |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (12 Juni-18 Juni) 2017-06-16 1. Zaidi ya wahamiaji 1000 waokolewa Libya 2.Shambulizi lauwa 25 mkahawani Mogadishu 3.Bosco Ntaganda atoa ushahidi Mahakama ya ICC 4.Mazungumzo ya Brexit kuanza rasmi jumatatu ijayo 5.Watu 12 wafariki wafariki baada ya moto kuteketeza jengo refu London 6.Korea Kaskazini yaendelea kurusha makombora 7.Tanzania yapoteza matrilioni ya pesa kupitia usafirishaji mchanga wa madini |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (3 Juni-9 Juni) 2017-06-09 1.Mataifa sita yavunja uhusiano na Qatar 2.Watu 43 wafariki katika ajali Zimbabwe 3.Rais Buhari anaendelea kupata nafuu 4.Rais wa Togo achaguliwa kuongoza ECOWAS 5.DRC yasema imedhiti ebola 6.Watu 10,000 wakimbia moto pwani ya Afrika Kusini 7.Raia 31 wa China wanaoshikiliwa nchini Zambia hawajaachiwa huru |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (27 Mei-2 Juni) 2017-06-02 1.Zaidi ya watu 80 wauwawa kwenye mlipuko Kabul 2.Polisi Venezuela watumia mabomu ya kutoa machozi kuwasambaratisha maelfu ya waandamanaji 3.Rais wa Marekani aondoa nchi yake katika makubaliano ya Paris juu ya mabadiliko ya tabia nchi 4.Serikali ya Libya yatwaa uwanja wa ndege wa Tripoli 5.Watu 36 wauawa katika kituo cha kuchezea kamari mjini Manila, Ufilipino 6.Serikali ya Nigeria yaanza kuwarudisha maisha ya kawaida wasichana wa Chibok waliookolewa 7.Sudan Kusini yaanza kusikiliza kesi ya askari wanaotuhumiwa kuwabaka wafanyakazi wa misaada |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (13 Mei-19 Mei) 2017-05-19 1.Rais mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ameapishwa 2.Zaidi ya watu 60 wauwawa kwenye mapigano Libya 3.Shirika la afya duniani laonya kusambaa kwa Ebola DRC 4.Wanajeshi waliokuwa wanagoma Cote Dvoire wamekubali kurudi kazini 5.Zaidi ya wafungwa 4,600 watoroka jela ya Makala nchini DRC 6.Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali chashambuliwa tena 7.Air Zimbabwe yapigwa marufuku kuruka katika anga ya Ulaya |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (8 Mei-12 Mei) 2017-05-12 Rais wa Burundi akutana na makamu wa rais wa China China yasaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutamaduni na nchi zaidi ya 60 za "Ukanda mmoja na njia moja" Brazil atangaza kumalizika kwa hali ya dharura ya kitaifa ya ugonjwa wa Zika Korea Kaskazini kutuma ujumbe kuhudhuria Mkutano wa Baraza la Ukanda mmoja na Njia moja Marekani yasitisha msaada kwa sekta ya afya nchini Kenya China na Burundi zaahidi kuunganisha mikakati ya maendeleo na kuimarisha ushirikiano Umoja wa Ulaya kutoa dola milioni 53 kwa ajili ya elimu Somalia Marekani na Uchina zatia saini mkataba wa kibiashara Hoteli yafungwa kwa madai ya kuuza nyama ya ng'ombe India Shule zafungwa Zanzibar zote zafungwa kwa mafuriko |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Mei-7 Mei) 2017-05-05 1. Ndege ya China aina ya C919 kuruka kwa mara ya kwanza 2. Rais wa Marekani asema makubaliano ya amani kati ya Palestina na Israel yaweza kufikiwa 3.Mawaziri wakutana Kigali kujadili Umoj wa Afrika 4.Rais wa Afghanistan atoa mwito kwa kundi la Taliban kujiunga na mchakato wa amani 5. Bunge la Uingereza lavunjwa na kutoa nafasi ya kampeni za uchaguzi 6. Marais wa Marekani na Russia wajadili mgogoro wa Syria 7. Balozi mteule wa Marekani nchini China aahidi "kuleta athari chanya" kwa uhusiano kati ya Marekani na China 8. Trump afutilia mbali Obamacare 9.Waziri mwenye umri mdogo zaidi Somalia auwawa na kuzikwa 10. Mwanajeshi ajipiga picha katika mlipuko |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (22 Aprili-28 Aprili) 2017-04-28 1.Korea Kaskazini yaapa kuendelea kutengeneza silaha za nyuklia kwa ajili ya 2.Duru ya pili ya uchaguzi kufanyika Ufaransa 3.Meli ya kijasusi ya Urusi yazama 4.Mapigano ya kikabila yasababisha vifo vya watu 20 Kasai ya Kati nchini DRC 5.Upinzani Kenya wamteua mgombea wa urais 6.kujilindaRais Salva Kiir asitisha mkutano wake na maafisa wakuu wa jeshi 7.Mlipuko mkubwa watokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa mjini Damascus, Syria |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (15 Aprili-21 Aprili) 2017-04-21 1.Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lailaani Korea Kaskazini kufanya majaribio ya makombora. 2.Polisi mmoja auawa katika tukio la ufyatuaji risasi Ufaransa 3.Marekani yafikiria kuirudisha Korea Kaskazini kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi 4.Rais wa Palestina kukutana na mwenzake wa Marekani 5.Watu 6 wauawa katika mlipuko uliotokea mkoani Aleppo nchini Syria 6.Iran na Russia zashirikiana kujenga vituo viwili vya umeme vya nyuklia 7.Waziri mkuu wa Uingereza atangaza kufanya uchaguzi mkuu mapema kuliko ilivyopangwa 8.Uturuki yarefusha hali ya dharura kwa miezi mitatu zaidi 9.Mahmoud Ahmadinejad azuiwa kuwania urais Iran |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Aprili-7 Aprili) 2017-04-07 1.Marekani na Urusi zarushiana maneno juu ya shambulizi la Syria 2.Marais wa China na Marekani waandaa mazungumzo 3.Watu 6 wafariki kwenye shambulizi Mogadishu Somalia 4.Rwanda yaadhimisha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 5.Mazungumzo ya amani ya Kahrtoum yakutanisha viongozi wa AU 6. Umoja wa Mataifa wafuatilia shambulizi la silaha za kemikali lililotokea nchini Syria 7.Watu 11 wauawa katika shambulizi la mabomu St.Petersburg, Russia 8.Umoja wa Mataifa wasema Marekani kupunguza utoaji fedha kwa UNFPA kutaathiri vibaya afya ya wanawake wenye hali duni 9.Upinzani wa serikali ya Afrika Kusini yaanda maandamno |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (25 Machi-31 Machi) 2017-03-31 1.Waziri wa fedha wa Afrika Kusini afutwa kazi 2.Mke wa aliyekuwa rais wa Cote D'Ivoire aachiliwa huru 3.Bunge la Somalia laidhinisha orodha ya baraza jipya la mawaziri 4.Rais wa China kufanya ziara Finland na kukutana na Trump nchini Marekani 5.Mkutano wa kilele wa Umoja wa nchi za kiarabu wasisitiza kuunga mkono pendekezo la amani la nchi za kiarabu 6.Rais wa zamani Korea Kusini Park Geun-hye akamatwa 7.Uingereza yaanza rasmi mchakato wa kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (18 Machi-24 Machi) 2017-03-24 1.Kenya na Somalia zaahidi kuimarisha mapambano dhidi ya ugaidi 2.Rwanda yatahadharisha kuhusu itikadi ya mauaji ya kimbari siku chache kabla ya kumbukumbu ya mauaji hayo 3.Watu 10 wauawa kwenye shambulizi la Al Shabaab kusini mwa Somalia 4.Waziri wa habari Tanzania Nnape Nauye afutwa kazi 5.Wahamiaji 200 wafa pwani ya Libya 6. Watu watano wauwawa kwenye shambulizi nje ya Bunge mjini London Uingereza 7.Aliyekuwa Makamu wa Rais wa DRC Jean-Pierre Bemba ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja kwa makosa ya kuhonga mashahidi |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (11 Machi-17 Machi) 2017-03-17 Msemaji wa polisi Uganda Felix Kaweesi na walinzi wake wawili wauwawa Ahmad Ahmad, kutoka Madagascar achaguliwa rais mpya wa shirikisho soka Afrika Maharamia Somalia waiachilia bila fidia meli ya Sri Lanka Idadi ya vifo kutokana na maporomoko ya lundo la taka Ethiopia yafikia 113 Viongozi wa China na Saudi Arabia wakubaliana kinua zaidi uhusiano kati ya nchi zao Maafisa 2 wa Umoja wa Mataifa watekwa nyara DRC Chama cha VVD chashinda viti vingi katika Baraza la chini la bunge la Uholanzi Kundi lenye uhusiano na Al-Qaida latangaza kuhusika na mashambulizi Damascus |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (4 Machi-10 Machi) 2017-03-10 1.Mahakama Korea Kusini yamwondoa mamlakani rais Park Geun-hye 2.Polisi Afrika Kusini wazima maandamano dhidi ya raia wa kigeni 3.Sudan yapinga dhidi agizo la Trump kuhusu wahamiaji 4.Rais wa Nigeria arejea nyumbani 5.Mkutano wa pili wa wajumbe wa Mkutano wa tano wa Kamati kuu ya 12 ya Baraza la mashauriano ya kisiasa la China wafanyika 6.Afrika Kusini yafuta ombi la kujitoa ICC 7.Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa aahidi kuunga mkono juhudi za Kenya za kupambana na ukame 8.Wakuu wa majeshi ya Uturuki, Russia na Marekani wajadili hatua za kuepuka migongano katika operesheni zao Syria 9.Aliyekuwa jenerali wa jeshi Sudan Kusini amezindua kundi lake la waasi |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (25 Feb- 3 Machi) 2017-03-03 Jeshi la Syria latangaza kukamata mji wa Palmyra nchini humo Jeshi la Kenya lauwa wapiganaji 57 wa kundi la kigaidi la Al Shabaab Watu 246 wamefariki dunia kutokana na mafuriko Zimbabwe Taharuki yatanda Afrika Kusini kufuatia wenyeji kuwashambulia wageni Raia wa Tanzania, Ufaransa na watatu DRC watekwa na wapiganaji wenye mashariki mwa Congo. Omar al-Bashir, amteuwa makamu wake kuwa waziri mkuu Rais wa Gambia afanya ziara ya kiserikali nchini Senegal |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Februari 18-Februari 24) 2017-02-24 1.Mohamed Abdullahi Mohamed aapishwa kuwa rais mpya wa Somalia 2.Eneo la Ziwa Tanganyika lakumbwa na tetemeko la ukubwa wa 5.7 3.Polisi nchini Malaysia wafichua kemikali iliyotumika kumuuwa Kim Jong-nam 4.Kambi mpya ya wakimbizi yafunguliwa Uganda 5.Wahamiaji 13 wakutwa wamekufa ndani ya kontena nchini Libya 6.Umoja wa Mataifa warefusha kwa mwaka mmoja muda wa vikwazo dhidi ya Yemen 7.Rais Trump wa Marekani ameteua mshauri mpya wa usalama wa taifa 8.Waandamanaji nchini Nigeria waomba raia wa Afrika Kusini kufukuzwa |
Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Februari 4-Februari 10) 2017-02-10 1.Mohamed Abdullahi Farmajo achaguliwa kuwa rais mpya wa Somalia 2.Watu 13 wauawa kwenye shambulizi Afghanistan 3.Wabunge wa upinzani wa Afrika Kusini wazua vurugu bungeni 4.Vikosi maalum nchini Ivory Coast vyateka mji wa Adiake 5.Ndege ya Urusi yawaua wanajeshi wa Uturuki Syria 6.Jumuiya ya kimataifa yailaani Israel kwa kuhalalisha maeneo ya makazi Ukingo wa Magharibi 7.Rais wa Syria awapokea mateka wanawake na watoto walioachiwa huru na waasi
|
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |