AFRIKA yenye idadi ya watu zaidi ya bilioni 1.1 ina rasilimali nyingi za asili zenye thamani kama Mafuta, gesi, madini mbalimbali na vinginevyo lakini inakabiwa na changamoto kubwa ya umasikini. Wasomi wa China na Afrika walikutana mwaka jana nchini China na kuzungumzia sababu za Afrika kukithiri kwa umasikini na mikakati ya kupunguza umasikini. Inakadiliwa kuwa asilimia 75 ya nchi masikini duniani ziko katika bara la Afrika. Hali ya Umasikini:
UHUSIANO baina ya nchi ya China na Afrika umekuwa ukiimarika siku hadi siku kiasi ambacho habari za pande hizo mbili zimekuwa zikitangazwa katika upande mwingine kwa kiasi kikubwa. Ukiangalia vyombo vya habari nchini China ni lazima utakutana na habari ya nchi za Afrika katika sekta mbalimbali hasa kwa Afrika na jinsi China ambayo ni nchi inayoendelea inavyojikita katika kusaidia.
TANZANIA na China imekuwa na mahusiano ya muda mrefu katika sekta mbalimbali ikiwemo uhusiano wa Kidplomasia, kiuchumi, kisiasa lakini kubwa zaidi ni kibiashara ambapo kuna watanzania wanaofanya baishara nchini China.
IKIWA ni wiki chache tangu kufanyika kwa kongamano la kwanza kuhusu Mkanda Mmoja Njia Moja mjini hapa wanawake kutoka nchi mbalimbali za Afrika kwa kushirikiana na wenzao kutoka China wameandaa tamasha kuangalia namna ya kujikwamua katika kujiletea maendeleo.
Nchi nyingi katika bara la Afrika zimekuwa zikikabiliwa na ukosefuwa nishati ya umeme ya uhakika hivyo kupoteza kupata wawekezajikatika sekta mbalimbali hasa viwanda huku wawekezaji wengine wakitishia kuondoka kwa madai ya kukwamisha uzalishaji na kuongeza gharama.
Mwaka 2015 kulifanyika mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika (FOCAC) katika mji wa Johannesburn Afrika Kusini. Katika mkutano huo, Rais wa China Xi Jinping alihaidi nchi yake itatoa dola bilioni 60 kufadhili miradi ya maendeleo barani Afrika, katika mipango ya nchi yak kwa nchi za Afrika wenye vipengee kumi wa taifa lake barani Afrika akisema anataka kujenga uhusiano wa haki na washirika walio sawa.
UKIFIKA nchini China katika miji mbalimbali utakutana na idadi kubwa ya waafrika wengi lakini licha ya kuwepo wafanyabishara wengi wao ni wanafunzi. Idadi kubwa ya waafrika katika vyuo mbalimbali nchini China inadhihirisha wazi kuhusu ushirikiano katika sekta ya elimu baina ya nchi za Afrika na China.
TANZANIA na China imekuwa na mahusiano ya muda mrefu katika sekta mbalimbali ukiwemo uhusiano wa Kidplomasia, kiuchumi, kisiasa pamoja na kijamii.
USHIRIKIANO wa China na nchi za Afrika umekuwa ukiimarika kila kukicha katika masuala mbalimbali ya kiuchumi,kiteknolojia, kiusalama na mengineyo katika kuhakikisha uhusiano unaimarika katika Nyanja tofauti.
GUANGZHOU ni mji maarufu katika jimbo la Guangdong lililopo Kusini mwa China huku ukiwa na wananchi wengi kutoka nchi za Afrika wakijihughulisha na masuala mbalimbali lakini wengi wao wakifanya biashara za aina tofauti.
Mmoja wa madaktari waliofika katika nchi hizo kutoka China na kufanya kazi kwa miaka 10 katika nchi tatu ameandika kitabu kuelezea maisha aliyoishi na kufanya kazi changamoto alizopitia, mwingiliano wake na waafrika pamoja na nini cha kufanya.
KIWANDA kikubwa cha kuzalisha viatu vya kike nchini China cha Huajian Footwear Manufacturing kimeeleza nia kuwekeza zaidi katika nchi za Afrika na kutoa nafasi za ajira 100,000.
WATANZANIA sita walioshinda katika shindano maalum la ubadilishaji wa sauti "Dubbing" wameanza kazi katika kampuni ya Startimes Group ya nchini China kwa mkataba wa kuanzia wa mwaka mmoja.
SANAMU na Vinyago zaidi ya 510 kutoka katika nchi za Afrika zimechaguliwa kuwekwa katika Makumbusho ya Taifa ya China. Utamaduni huo kutoka katika nchi zaidi ya 10 za Afrika ya kati, Afrika Magharibi na Kusini mwa jangwa la Sahara nyingi zinamuhusu binadamu na mazingira ya Afrika yanayomzunguka.
TANZANIA imeshiriki kwa mara ya tano katika maonesho ya China Outbound International tourism Travel Exhibitio na kuweka mikakati ya kusaka soko la watalii nchini hapa na kuingiza watalii 300,000 kwa mwaka .
Ushirikiano baina ya jimbo la Jiangsu nchini China na Afrika umezidi kuwa imara ambapo mpaka sasa kuna kampuni 400 kutoka jimbo hilo zimewekeza Afrika huku kampuni nyingine zikionesha nia ya kwenda kuwekeza Africa.