• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Kituo cha Utamaduni wa China na Tanzania chafanya maonesho ya sanaa yenye jumbe za umkomboa mwanamke 2019-03-12

    MWAKA 2015 kilizinduliwa kituo cha kwanza cha utamaduni wa China katika ukanda wa Afrika Mashariki kilichopo jijini Dar es Salaam, Tanzania. Wakazi huo, Aliyekuwa balozi wa China nchini Tanzania Lv Youqing na waziri mkuu Mstaafu wa Tanzania Mizengo Peter Pinda walishiriki katika uzinduzi wa jukwaa muhimu la kuzidisha mawasiliano ya kiutamaduni kati ya China na Tanzania, na kitatoa mchango zaidi katika kuendeleza uhusiano wa kirafiki kati yao.

    • CPC na CPPCC taswira ya Maendeleo China na mahusiano baina ya Afrika na Ushirikiano kimataifa 2019-03-04

    MACHI 3 mpaka 15 mwaka huu kunafanyika Mikutano Miwili Mikubwa kwa mustakabari wa nchi ya China ambapo serikali itatoa ripoti ya utendaji kazi wake, mafanikio na mipango yake kwa mwaka huu.

    • China yaongoza kwa uwekezaji wa mitaji Tanzania kwa zaidi ya Dola za Marekani Bilioni tano 2018-12-11

    CHINA inaendelea kuongoza kwa kuweka mitaji mikubwa nchini Tanzania kwa zaidi ya dola Bilioni 5.8 Duniani katika uwekezaji kuanzia mwaka 1990 mpaka 2017.

    • China kusaidia Tanzania awamu ya pili Utafiti kutokomeza Malaria 2018-12-07

    TANZANIA ni miongoni mwa nchi za Afrika inayokabiliwa na maradhi na vifo kutokana na ugonjwa wa Malaria, ili kukabiliana na ugonjwa huo hivi karibuni imezinduliwa awamu ya pili ya mradi wa utafiti wa kupambana na malaria nchini kwa lengo la kupunguza maradhi na vifo vinavyosababisha na ugonjwa huo.

    • Mazao 10 kutoka Tanzania yapata soko China 2018-10-16

    TANZANIA ni moja ya nchi zilizohudhuria mkutano wa 15 wa kimataifa baina ya China na nchi jirani na nchi marafiki katika mji wa Nanning kuanzia Septemba 12 hadi 15 mwaka huu.

    • Wataalamu wa Afya 50 kutoka Tanzania kupata mafunzo mahsusi China 2018-08-29

    NOVEMBA mwaka jana, Meli ya matibabu kutoka China iliwasili katika Bandari ya Dar es Salaam nchini Tanzania ikiwa na madaktari bingwa na wafanyakazi 381 ambao walitoa huduma ya matibabu bure ndani ya meli hiyo kwa muda wa wiki moja.

    • Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kuiwakilisha Tanzania FOCAC huku akiambatana na waandishi wa habari 10 2018-08-29

    MKUTANO wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unafanyika wiki ijayo Beijing China, kuanzia Septemba 3-4 mwaka huu ikiwa ni fursa nyingine kwa nchi za Afrika kupata fursa mbalimbali za ushirikiano baina ya nchi hizo na China.

    • Ushirikiano China na Tanzania waongezeka mara kumi kwa miaka sita na kufikia Trilioni 15.82 2018-08-14

    USHIRIKIANO wa Tanzania na China katika sekta mbalimbali unimarisha kila mwaka katika kuhakikisha nchi hizo mbili kila moja inanufaika . Ongezeko hilo limefanya uwekezaji wa China nchini Tanzania kuongezeka mara kumi katika kipindi cha miaka sita kutoka Sh trilioni 1.58 hadi kufikia Sh trilioni 15.82.

    • China kuandaa maeneo ujenzi wa Viwanda Afrika 2018-08-07

    CHINA imesema iko tayari kuanzisha mfuko wa maendeleo na mikopo kwa Afrika huku ikiandaa maeneo ya ujenzi wa viwanda katika ukanda huo. Nchi hiyo ya pili wa uchumi duniani imesema lengo ni kusaidia nchi hizo kukamilisha ndoto ya ujenzi wa viwanda kwa maendeleo endelevu.

    • CPC yavutia Vyama vya siasa Afrika vyakubaliana kujikita katika maendeleo 2018-07-24

    MKUTANO wa kihistoria ulioandaliwa na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kwa kushirikiana na Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania ulioshirikisha vyama vya siasa Afrika zaidi ya 40, umemalizika kwa mafanikio makubwa.

    • CCM na CPC yakutanisha vyama vya siasa Afrika kujadili ushirikiano wao na China 2018-07-16
    • Tanzania Yawakumbuka Wachina waliofariki ujenzi wa Tazara na kubainisha kutumia FOCAC kujitangaza 2018-04-17

    USHIRIKIANO baina ya Tanzania na China ulianza siku nyingi wakati wa waasisi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Mwenyekiti Mao Zedong wa China ambao umeendelea mpaka sasa kwa viongozi wan chi hici mbili Rais John Magufuli na Rais Xi Jinping wa China.

    • Majadiliano njia pekee ya suluhu mgogoro China na Marekani 2018-04-13

    MGOGORO wa kibiashara baina ya nchi za uchumi mkubwa Duniani China na Marekani ulioibuka hivi karibuni ni dhahiri umekuwa mjadala Duniani kutokana na umuhimu wake kwa uchumi wa dunia.Ni dhahiri kuwa athari zake hazitakuwa kwa mataifa hayo tu, bali utasababisha uchumi wan chi nyingi duniani kuathirika hivyo ni vema kuwepo kwa nia za majadiliano ili kuondoa mgogoro huo.

    • Rais Xi na dhamira ya kutumikia watu katika awamu nyingine 2018-03-22

    WIKI hii China imeingia katika historia mpya baada ya Rais wa nchi hiyo Xi Jinping kuchaguliwa kuongoza nchi hiyo katika muhula mwingine. Hatua hiyo imefuatiwa baada ya Bunge la Umma kupitisha mabadiliko ya Katiba na kuondoa ukomo wa muda wa urais ambao awali ulikuwa mihula miwili.

    • Ripoti ya serikali China, muelekeo imara wa kujiimarisha 2018-03-07

    NCHI ya China inayoongozwa na chama cha kikomunisti cha CPC kinachoongozwa na Rais wake Xi Jinping inaelezwa kuwa taifa la pili duniani kwa kuwa na uchumi mkubwa, wiki hii imekuwa na mkutano wa kwanza wa bunge la 13 la umma la China.

    • China na  mikakati zaidi  kusaidia  sekta ya afya barani Afrika  2018-02-21
    SERIKALI ya China imeelezea nia yake ya kuhakikisha kuwa Afrika inakua na afya njema.
    China ina lengo la kusaidia Afrika kukabiliana na changamoto za afya wakati huu ambao ushirikiano baina yao unaingia enzi mpya.
    • Idadi ya watu kuongezeka China baada ya kutekelezwa sera mpya kupanga uzazi 2017-11-24

    SERA ya uzazi wa mpango nchini China iliyoratibishwa mwaka 1979 na kuanza utekelezaji wake mwaka 1980 ambapo familia zilitakiwa kuzaa mtoto mmoja tu.

    • Waafrika wanaohitimu mafunzo China kupatiwa ajira. 2017-11-22

    TATIZO la ukosefu wa ajira kwa vijana katika nchi za Afrika hasa wanaohitimu masomo katika vyuo vikuu mbalimbali limekuwa kubwa hivyo kuathiri uchumi wa nchi hizo zinazoendelea duniani kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo mifumo ya elimu inayowaandaa wengi kuajiliwa na siyo kujiajiri.

    • Viongozi Afrika wahamasisha Mataifa zaidi kushiriki mpango wa Ukanda mmoja njia moja 2017-11-18

    MPANGO wa ukanda mmoja njia moja,ulioanzishwa na Rais wa China mwaka 2013 na kutenga fedha zaidi ya dola za Marekani bilioni 100 kwa lengo la kumaliza miundombinu mibovu,kufadhiri miradi mbalimbali pamoja na kusaidia maendeleo ya utaalamu katika mataifa yanayoendelea.

    • Mtandao wa reli nchini China wazidi kushika kasi. 2017-11-14

    CHINA ni nchi inayoongoza kwa kuwa na usafiri wa Treni za Chini (Subway)zinazotoa usafiri wa wananchi wake kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa utaratibu maalum jambo linalosaidia kupunguza msongamano barabarani katika nchi hii yenye idadi kuwa ya watu zaidi ya bilioni moja.

    • Xi atangaza mwamko mpya katika awamu ya pili ya utawala wake. 2017-10-26

    BAADA ya kufanyika kwa mkutano mkuu wa Chama tawala cha kikomunisti,Rais wa China Xi Jinping ametangaza safu mpya ya uongozi wa kamati kuu ya chama hicho kwa muhula mpya wa miaka mitano,yenye lengo la kuimarisha ustawi na kupanua ushawishi wa taifa hilo kimataifa.

    • CPC waandaa maonyesho ya mafanikio ya awamu ya kwanza ya Rais Xi ikiwemo kuimarika ushirikiano na nchi za Afrika. 2017-10-23

    WAKATI mkutano wa taifa ya 19 wa Chama cha Kikomunisti (CPC) ukiendelea mjini hapa ,Chama hicho kimefungua maonyesho katika ukumbi mkubwa wa vyumba 10 na kuonyesha mafanikio ya awamu ya kwanza ya utawala wa Rais wa nchi hiyo Xi Jinping ikiwemo mahusiano yaliyopo baadhi ya nchi mbalimbali duniani.

    • Rais Xi kuupa kipaumbele mfumo wa Ukanda mmoja Njia moja katika awamu yake ya pili madarakani 2017-10-21

    WIKI hii macho na masikio duniani yalielekezwa nchini China kunakofanyika Mkutano Mkuu wa 19 wa chama cha kikomunisti cha CPC,kinachotawala nchini hapa. Katika mkutano huo unaohudhuriwa na wajumbe 2,307 huku ukifuatiliwa kwa karibu za vyombo vya habari zaidi ya 3000,umekuwa gunzo kubwa hususan baada ya msemaji wa Chama hicho kuweka wazi Agenda za Mkutano huo.

    • China Yazindua Mpango Mahususi kusaidia Usalama kwa mataifa yanayoendelea Afrika 2017-10-07

    KATIKA kukabiliana na vitendo vya uhalifu duniani,China imehaidi kutoa misaada zaidi wa kifedha na rasilimali mbalimbali kusaidia jamii ya kimataifa kupambana na changamoto za kiusalama duniani.

    • CADFund yafadhili  miradi zaidi ya 90 Afrika 2017-09-04
    MFUKO wa maendeleo baina ya China –Afrika (China-Africa Development Fund (CADFund) ni moja ya juhudi za serikali ya China katika kuhakikisha wanadumisha ushirikiano na nchi za Afrika.
    • Waandishi wa habari  China   wataka Afrika iangaziwe zaidi 2017-08-09

    WIKI iliyopita waandishi wa habari kutoka China na Afrika walikutana kwa mualiko wa taasisi ya kimataifa ya Sino-Africa Watch,(ISAW) walioandaa mkutano maalum kwa waandishi wa habari hapa Beijing kwa ajili ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina ya China na Afrika.

    • Wafanyabiashara kutokaAfrika waonyesha nia kuwekeza Sichuan 2017-07-24

    Sichuan ni jimbo ambalo uchumi wake unakua kwa kasi mno na imeibuka kuwa kitivo cha uvumbuzi wa teknolojia, viwanda na maendeleo ya vipuri mbalimbali va usafiri wa anga.

    • Wadau walaumu wafanyabiashara toka Afrika kutozingatia vipimo halisi vya ubora kwa bidhaa toka China 2017-07-14

    Ni jambo la kawaida katika nchi za Afrika kusikia wakilalamikia ubora wa bidhaa mbalimbali zinazosafirishwa kutoka nchini China kuwa hazina ubora lakini ikiwa tofauti kwa sehemu nyingine duniani ambao wanatumia bidhaa hizo.

    • Hifadhi ya Gengis Khan, eneo maarufu kwa urithi wa tamaduni za kichina 2017-07-12

    Ordos ni mji maarufu katika eneo la Mongolia nchini China huku kukiwa na maeneo mengi ya kihistoria yanayoelezea historia,viongozi na imani ya watu wa eneo hilo ikiwa ni njia ya kudumiasha mila na tamaduni zao.

    • Mafanikio ya Kihistoria China katika kurejesha jangwa kuwa rafiki wa binadamu, wanyama na mimea 2017-06-30

    JANGWA la Kubuqi lililopo katika mji unaojitawala nchini China wa Inner Mongolia ni mfano tosha kwa nchi mbalimbali duniani hususan Afrika zinazokabiliwa na changamoto ya kuwepo jangwa au kuongezeka kwa hali hiyo.

    1  2  3  4  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako