Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2004-06-08 16:59:08    
Cadillac SRX

cri

Engine la SRX lenye nguvu kubwa V8 4.0

Mwaka huu magari ya aina hii yatatengenezwa nchini China

kampuni ya Cadillac ni kampuni yenye historia ndefu kabisa nchini Marekani.

Kampuni hii inatengeneza magari ghali sana.

Magari ya aina hii yanapendwa sana na watu.

Idhaa ya Kiswahili 2004-06-08