Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia


Mwongozaji wa filamu za hifadhi ya mazingira Bw. Feng Xiaoning
Mwezi Oktoba filamu ya "Kimbunga Kikali" imekuwa ikioneshwa kila mahali nchini China. Filamu hiyo iliyogharimu Yuan milioni 50 katika matengenezo yake inagusa hisia za watazamaji kwa nguvu. Inafahamika kwamba filamu hiyo imechaguliwa kuwa mojawapo ya filamu zinazooneshwa katika Tamasha la 21 la Kimataifa la Filamu mjini Tokyo.
Zaidi>>
  • Miaka 30 ya mageuzi ya sekta ya uchapishaji nchini China
  •  2008/11/20
    Tokea China ilipokumbwa na uhaba wa vitabu mpaka kuwa nchi mgeni muhimu itakayoshiriki kwenye maonesho hayo makubwa ya vitabu duniani, hali hii imedhihirisha wazi kwamba China imepata maendeleo makubwa katika mageuzi ya sekta ya uchapishaji katika miaka 30 iliyopita.
  • "Tamasha la Utamaduni wa Afrika Mwaka 2008" lastawisha maingiliano ya kiutamaduni kati ya China na Afrika
  •  2008/11/14
    "Tamasha la Utamaduni wa Afrika Mwaka 2008" ambalo pia ni maingiliano makubwa ya kiutamaduni kati ya China na Afrika lilifanyika mjini Shenzhen China kuanzia tarehe 23 Oktoba mpaka tarehe 2 Novemba. Wasanii na wataalamu wa Afrika na China wana matumaini kuwa China na Afrika zitaimarisha zaidi urafiki wa jadi na kukuza zaidi maingiliano hayo na kupanua maelewano kwa njia nyingi zaidi.
  • Tamasha la Michezo ya Sanaa la Asia
  •  2008/11/06
    Tamasha la 10 la Sanaa la Asia lilifungwa hivi karibuni katika mji wa Kaifeng mkoani Henan, China. Kauli mbiu ya tamasha hilo ni "Upatanifu wa Asia na Kukutana kwa Furaha Mkoani Henan". Maonesho ya aina mbalimbali na shughuli nyingi za utamaduni za umma ziliufanya mkoa huo kuwa kama bahari ya furaha.
    Zaidi>>
  • Mtu mashuhuri wa China ya kale Cao Cao na mashairi yake
  •  2008/11/20
    Kipindi cha Jian An kilichoanzia mwaka 196 hadi mwaka 220 mwishoni mwa Enzi ya Han Mashariki ni kipindi muhimu katika historia ya China. Katika kipindi hicho walijitokeza washairi wakubwa kama Cao Cao, Cao Pi na Cao Zhi, ambao walichangia ustawi wa fasihi ya China na kuipeleka katika kipindi kipya cha maendeleo
  • Tamasha la kimataifa la michezo ya sanaa lafanyika mjini Shanghai
  •  2008/11/14
    Tamasha la 10 la kimataifa la michezo ya sanaa linafanyika katika mji wa Shanghai, mji mkubwa uliopo mashariki mwa China. Wasanii kutoka Australia, Canada, Japani, Marekani, Ujerumani, Misri na nchi nyingine wamekusanyika huko kwa furaha. Katika muda wa mwezi mmoja wasanii hao watafanya maonesho zaidi ya 52 ya michezo ya sanaa.
  • Watu wa fani mbalimbali nchini China wamkumbuka mwongozaji mkubwa wa filamu Bw. Xie Jin
  •  2008/11/06
    Hivi karibuni mwongozaji mkubwa wa filamu wa China Bw. Xie Jin amefariki dunia kutokana na ugonjwa akiwa na umri wa miaka 85. Siku hizi watu wa fani mbalimbli nchini China kwa namna moja au nyingine wanafanya maombolezo ya kumkumbuka mwongozaji huyo wa filamu aliyetoa mchango mkubwa katika mambo ya filamu.
  • Utenzi wa kwanza katika historia ya fasihi ya China "Tausi Arukia Kusini Mashariki"
  •  2008/10/30
    "Tausi Arukia Kusini Mashariki" ni utenzi wa kwanza kabisa katika historia ya fasihi ya China, na ni moja kati ya maandishi maarufu ya fasihi ya China. Utenzi huo ulitokea katika kipindi cha Enzi ya Kusini iliyoanzia mwaka 420 hadi 589, asili yake ilikuwa ni utunzi miongoni mwa wenyeji katika Kipindi cha Jian An kilichoanzia mwaka 196 hadi mwaka 220 na baadaye ulirekebishwa katika muda mrefu. Utenzi huo una beti zaidi ya 350 zenye maneno zaidi ya 1,700, mambo yanayoelezwa ni hadithi ya mapenzi yanayosikitisha iliyotokea katika zama za kale nchini China.
  • Nyimbo zakuvutia usitake kuondoka mkoani Ningxia China
  •  2008/10/16
    Mliosikia ni wimbo wa kale unaoenea sana mkoani Ningxia nchini China. Wimbo kama huo unapewa jina la "Hua" maana yake ya kichina ni maua. Wimbo huo ambao unaimbwa kwa miaka mingi miongoni mwa wenyeji unawavutia watu wengi.
  • Mabadiliko makubwa ya uchapishaji wa vitabu katika miaka 20 iliyopita nchini China
  •  2008/10/09
    Kuanzia tarehe mosi mpaka tarehe 4 Septemba tamasha la 15 la kimataifa la vitabu lilifanyika katika mji wa bandari Tianjin. Miaka 22 imepita tangu tamasha hilo lilipoanzishwa mwaka 1986 mpaka sasa, tamasha hilo limekuwa moja ya matamasha manne makubwa ya kimataifa duniani.
    Zaidi>>
    Zaidi>>