Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia

  • Mahojiano na mwanafunzi wa Afrika anayesoma nchini China
  •  2008/11/21
  • Mahojiano kati ya mwandishi wetu wa habri na mwalimu wa kiswahili
  •  2008/10/17
    Bi. Wei Yuanyuan sasa ni mwalimu wa lugha ya Kiswahili wa Chuo kikuu cha lugha za kigeni cha Beijing. Kwenye Michezo ya Olimpiki ya Beijing iliyofungwa tarehe 24 Agosti, yeye alikuwa mmoja kati ya watu wanaojitolea. Bi, Wei, kwanza ujulishe kipindi chako cha kujifunza lugha ya Kiswahili?
    zaidi>>
  • Daktari wa China atoa mchango mkubwa kwa miaka 40 nchini Mali
  •  2008/11/14
    Tokea mwaka 1968, madaktari wa China walikwenda Mali kushughulikia matibabu na afya za wananchi wa Mali. Mwaka huu ni wa 40 tangu China itoea msaada wa matibabu kwa Mali. Katika miaka 40 iliyopita, kikundi cha madaktari wa China kiliwaokoa na kuwatibu wananchi wa Mali na kusifiwa na watu wa hali mbalimbali wa Mali.
  • Daktari wa China atoa mchango mkubwa kwa miaka 40 nchini Mali
  •  2008/11/14
    Tokea mwaka 1968, madaktari wa China walikwenda Mali kushughulikia matibabu na afya za wananchi wa Mali. Mwaka huu ni wa 40 tangu China itoe msaada wa matibabu kwa Mali. Katika miaka 40 iliyopita, kikundi cha madaktari wa China kiliwaokoa na kuwatibu wananchi wa Mali na kusifiwa na watu wa hali mbalimbali wa Mali.
  • Wachina wanaoishi nchini Zimbabwe wafuatilia wagonjwa wa Ukimwi wa huko
  •  2008/11/07
    Mfanyabiashara wa China Bw. Xie Chonghui ambaye anaitwa na wakazi wa huko kuwa "mfalme wa baiskeli", alasiri ya tarehe 10 Oktoba akiendesha lori lililobeba mikate alikwenda kituo cha kuwafuatilia wagonjwa wa Ukimwi kilichoko kitongoji cha mji wa Harare.
    zaidi>>

    Not Found!(404)

  • Makampuni ya mkoa wa Jilin nchini China yatilia maanani fursa ya kuwekeza na kujiendeleza barani Afrika
  •  2008/10/24
    Maonesho ya nne ya biashara na uwekezaji ya Asia Kaskazini Mashariki hivi karibuni yalifungwa mjini Changchun, mkoani Jilin nchini China, pamoja na mkutano wa baraza la kuwekeza barani Afrika kwa makampuni ya Jilin uliohudhuriwa na maofisa wa serikali ya mkoa wa Jilin, wajumbe wa makampuni na mabalozi wa Afrika nchini China. Mwandishi wetu wa habari aliona kuwa, makampuni ya mkoa wa Jilin yanatilia maanani fursa ya kuwekeza na kujiendeleza barani Afrika na makampuni hayo yanafanya juhudi kupanua soko lao barani Afrika.
  • Makampuni ya China yaliyopo nchi za nje yapaswa kushukuru jamii za huko
  •  2008/10/05
    Mkuu wa shirikisho la biashara ya mradi wa ukandarasi kwa nchi za nje la China Bw. Diao Chunhe hivi karibuni huko Algiers alisema shughuli za miradi ya ukandarasi za China kwa nchi za nje ziliendelea kwa kasi lakini makampuni ya China yalipoendelea kwenye nchi za nje yanapaswa kushukuru jamii za huko ili kujiendeleza na kupata manufaa pamoja na wananchi wa huko.
  • Wataalamu wa kilimo wa China waona kuwa uwekezaji kwenye kilimo cha Afrika unapaswa kufuata utaratibu kamili
  •  2008/07/04
    Naibu mkurugenzi wa zamani wa Kampuni ya kuendeleza mashamba ya China Bw. Han Xiangshan, hivi karibuni alisema makampuni ya China yanatakiwa kuwekeza kwa wingi zaidi kwenye shughuli za kilimo barani Afrika, na kuanzisha mashamba makubwa yenye uzalishaji wa kiwango cha juu.
    zaidi>>