Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia

 • Tatizo la udongo ulioganda katika ujenzi wa reli ya Qinghai-Tibet
 •  2006/07/20
  Katika ujenzi wa reli ya Qinghai-Tibet nchini China kuna matatizo matatu ambayo hayakuweza kuepukika, nayo ni udongo ulioganda, upungufu wa hewa ya oksijeni katika uwanda wa juu na ikolojia dhaifu. Kati ya matatizo hayo matatu, tatizo la udongo ulioganda ni kubwa zaidi.
 • Majengo katika Enzi ya Tang Song na Yuan
 •  2006/01/26
  Enzi ya Tang (618-907) ni kipindi ambacho uchumi na utamaduni katika jamii ya kimwinyi nchini China ulifikia kwenye kilele, ufundi na sanaa za ujenzi wa majengo pia zilikuwa zimeendelea sana. Majengo katika Enzi ya Tang yalikuwa makubwa na ya adhama.
 • Majengo ya Jadi ya China
 •  2005/12/15
  Mahekalu ni moja ya aina ya majengo ya dini ya Buddha nchini China. Mahekalu nchini China yalianzia India, mahekalu hayo ni ishara ya hali ya ustawi wa dini ya Buddha katika historia, ni majengo yenye thamani kubwa kwa ajili ya uchunguzi na usanii.
 • Maliasili ya Ardhi ya China
 •  2005/09/30
 • Eneo la ardhi, Bendera ya Taifa, Nembo la Taifa, Wimbo la Taifa na Mji Mkuu
 •  2005/09/01
  Jamhuri ya Watu wa China yaani China, iko kwenye sehemu ya mashariki ya Bara la Asia na kando ya magharibi ya Bahari ya Pasifiki.
  Zaidi>>
 • Mito na Milima nchini China
 •  2005/09/29
  Nchini China kuna mito mingi, miongoni mwao mito zaidi ya 1500 ambayo kila mto ni wenye eneo la kilomita za mraba 1000. Mito hiyo inagawanyika katika mito ambayo maji yake yanatiririka na kuingia baharini na mito isiyoingia baharini.
 • Mamlaka ya Bahari na Visiwa
 •  2005/09/08
  Mwambao wa nchi kavu ya China unaanzia mlango wa Mto Yalu wa Mkoa wa Liaoning wa kaskazini hadi Mlango wa Mto Beilun wa Mkoa wa Guangxi wa kusini, urefu wake ni kilomita 1,800. Hali ya kijiografia ya pwani za bahari ni tambarare
 • China yachukua hatua kuhifadhi maliasili ya misitu
 •  2005/08/19
  Serikali ya China imeongeza zaidi mkakati na sera kuhusu hifadhi ya mazingira, ili kuhakikisha binadamu na mazingira vinaishi kwa kupatana wakati China inapotimiza maendeleo mazuri ya kasi ya uchumi na jamii.
 • Mfereji Ling wenye historia ndefu
 •  2005/07/28
  Mfereji Ling wenye urefu wa kilomita 34 uko katika wilaya ya Xing'an ambayo iko umbali wa kilomita 66 kusini mashariki ya mji wa Guilin. Mfereji huo ulijengwa katika Enzi ya Qin (221k.k.-206k.k.) wakati Mfalme Qinshihuang aliposhika madaraka
 • Maelezo mafupi kuhusu Tibet
 •  2005/07/07
  Mkoa unaojiendesha wa Tibet ni sehemu ambayo wako watu wa kabila la Tibet. Mkoa huo uko sehemu ya kusini magharibi mwa uwanda wa juu wa Qinghai-Tibet.
  Zaidi>>
  Zaidi>>
 • Mji wa Hohhot
 •  2005/08/25
  Mji wa Hohhot ni mji mkuu wa mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, pia ni kituo cha kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni cha mkoa huo.
 • Mji wa Chengdu
 •  2005/08/04
  Mji wa Chendu ni mji muhimu ulioko kusini magharibi mwa China tokea enzi za kale. Ulikuwa mji mkuu wa dola la Shu katika Enzi ya Madola matatu na mji mkuu wa dola la Shu ya kwanza na Shu ya pili katika kipindi cha Enzi Tano na Madola kumi.
 • Mji wa Changsha
 •  2005/07/14
  Mji wa Changsha ni mji mkuu wa mkoa wa Hunan, pia ni kituo cha kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni, sanyasi, elimu na habari cha mkoa huo.
  Zaidi>>