Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia

 • Tianjin yaharakisha shughuli za kuendeleza dawa za jadi za kichina
 •  2008/11/05
  Kutia maji kwenye mchanganyiko wa dawa za mitishamba na kuchemsha kwa muda mrefu kwenye chungu la kauri, maji yenye rangi nzito yanapatikana baada ya kuchuja supu ya mitishamba hiyo. Wachina wanayaita maji hayo "supu ya dawa", na walizoea kutumia supu ya namna hiyo kutibu magonjwa mbalimbali.
 • Kuhusu ugonjwa wa kuhara
 •  2008/10/15
  Majira ya joto ni kipindi ambacho vijidudu mbalimbali vya tumboni vinapozaliwa, kwa hiyo majira hayo pia ni kipindi ambacho watu wengi wanapata ugonjwa wa kuhara. Katika kipindi hiki, tutawaelezeni jinsi ya kupambana na ugonjwa huo.
 • Beijing yamaliza vizuri kazi za uhakikisho wa huduma za matibabu kwenye michezo ya Olimpiki
 •  2008/09/24
  Michezo ya Olimpiki ya Beijing imemalizika kwa mafanikio. Wachezaji zaidi ya elfu 10, waandishi wa habari zaidi ya elfu 30 na watazamaji na watalii zaidi ya laki moja wote wamejisikia furaha, fahari na ndoto zilizoletewa na michezo ya Olimpiki ya Beijing.
 • Kikundi cha madaktari wa Russia chatoa misaada ya matibabu kwenye sehemu zilizokumbwa na tetemeko la ardhi mkoani Sichuan
 •  2008/06/11
  Kikundi cha utoaji wa msaada wa matibabu cha Russia kilichoundwa na madaktari na wauguzi 67 ni kikundi cha kwanza cha matibabu cha kimataifa kilichofika kwenye sehemu zilizokumbwa na maafa ya tetemeko la ardhi huko Wenchuan mkoani Sichuan. Tarehe 21 Mei baada ya kufika huko Pengzhou ambayo ni sehemu iliyoathiriwa vibaya katika maafa hayo
  zaidi>>
 • Maisha ya kijana mmoja wa kawaida yawafanya wananchi wa China wazingatie jukumu lao kwa jamii
 •  2006/01/18
  Siku hizi kijana mmoja aitwaye Hong Zhanhui amefuatiliwa sana na wananchi wa China. Katika kampeni ya kuwachagua watu 10 wa China waliowavutia watu zaidi katika mwaka 2005, kijana huyo alichaguliwa kwa kura nyingi zaidi.
 • Habari mbalimbali kuhusu hali ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya China wanapotafuta ajira
 •  2005/09/28
  Wanafunzi 137 wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Kilimo cha Kaskazini Magharibi, ambao bado wanaendelea na masomo, hivi karibuni walialikwa kufanya kazi kama wasaidizi wa mkurugenzi wa kamati ya wakazi mkoani Shaanxi
 • Vyuo vikuu mjini Shanghai vyafanya juhudi kubwa katika kuwasaidia wanafunzi wenye matatizo ya kiuchumi
 •  2005/08/31
  Wakati muhula mpya wa mwaka 2005 ulipoanza, ili kuwasaidia wanafunzi wapya kutoka kwenye familia maskini kulipia gharama za masomo yao, vyuo vikuu mbalimbali mjini Shanghai vimevumbua njia mbalimbali za kuwasaidia wanafunzi hao
  zaidi>>
  Maonesho ya ndege ya Zhuhai yaonesha kiwango cha maendeleo ya teknolojia ya anga ya juu nchini China  2008/11/19
  Maonesho ya ndege na teknolojia za anga ya juu ya kimataifa ya China yakiwa ni moja ya maonesho matano makubwa ya ndege duniani, hivi karibuni yalifungwa huko Zhuhai, mji ulioko kusini mwa China. kwenye maonesho hayo teknolojia nyingi mpya za ndege na za safari za anga ya juu za China zimeoneshwa, ikiwemo ndege mpya ya kivita ya China J-10.
  Maendeleo ya kasi ya sayansi na teknolojia yabadilisha maisha ya watu wa China  2008/11/12
  Katika muda wa miaka 30 iliyopita tangu China ianze kutekeleza sera za mageuzi na kufungua mlango kwa nje. Kiwango cha sayansi na teknolojia kimeinuka kwa kasi, na kimeathiri kila upande wa maisha ya watu.
  China yaanza kujenga kituo cha tatu cha utafiti kwenye ncha ya kusini ya dunia ya dunia  2008/10/29
  Kikundi cha 25 cha kufanya utafiti kwenye ncha ya kusini ya dunia cha China hivi sasa kimefunga safari. Watafiti wa kikundi hicho watakamilisha ujenzi wa kituo cha tatu cha utafiti wa kisayansi Kunlun kwenye ncha ya kusini ya dunia ndani ya muda wa nusu mwaka.
  Utafiti kuhusu chombo cha kuchunguza sayari ya mwezi wapamba moto nchini China  2008/10/22
  Chombo cha kuchunguza sayari ya mwezi ni chombo maalum kinachoweza kusafiri kwenye sayari ya mwezi, kukusanya sampuli na kufanya uchunguzi kuhusu sayari hiyo. Kutokana na uwezo wa China wa kuchunguza anga ya juu kuendelea kuinuka, idara nyingi za utafiti wa sayansi nchini China zimeanzisha utafiti kuhusu teknolojia za eneo hilo.
  Watoto wa kike wa kabila la wahui mkoani Ningxia wapata fursa ya kusoma shuleni  2008/10/08
  Hivi karibuni mwandishi wetu wa habari alipotembelea katika shule za sekondari za mkoa unaojiendesha wa kabila la wahui wa Ningxia, wanafunzi wa kike hasa wale wanaovaa nguo za kabila la wahui walivutia sana. Imefahamika kuwa, pamoja na utekelezaji wa sera ya kufuta ada za shule za elimu ya lazima ya miaka 9, mkoa wa Ningxia pia umeendelea kutenga fedha zaidi kwa pande mbalimbali za shughuli za elimu vijijini...
  zaidi>>
 • Teknolojia za juu zarahisisha maisha ya watu
 •  2008/11/26
  Bidhaa nyingi za teknolojia za kisasa kama hizo hivi karibuni zilioneshwa kwenye maonesho ya 10 ya teknolojia mpya na za hali ya juu ya kimataifa ya China yaliyofanyika huko Shenzhen.
 • CPU za Loongson zilizotengenezewa na China zaingia kwenye soko la kimataifa
 •  2007/05/02
  Kutokana na maendeleo ya teknolojia ya upashanaji wa habari, bidhaa mbalimbali za upashanaji wa habari kama vile kompyuta na simu za mkononi zinatumiwa na watu wengi, na zimekuwa vyombo muhimu kwa kazi na maisha ya watu.
 • China yavumbua simu ya mkononi inayotumia maandishi ya lugha za makabila madogo
 •  2007/03/07
  China ina idadi ya watu zaidi ya bilioni 1.3, licha ya kabila la Wa-Han ambalo linachukua asilimia zaidi ya 90 ya idadi ya jumla ya watu wa China, bado kuna makabila 55 madogo, na makabila mengi madogo yana maandishi ya lugha zake.
  zaidi>>
  • Teknolojia za juu zarahisisha maisha ya watu 2008/11/26
  Bidhaa nyingi za teknolojia za kisasa kama hizo hivi karibuni zilioneshwa kwenye maonesho ya 10 ya teknolojia mpya na za hali ya juu ya kimataifa ya China yaliyofanyika huko Shenzhen.
  • Mashine ya kufulia isiyotumia sabuni ya unga  2006/03/08
  Kama watu wote wanavyojua mashine ya kufulia inategemea sabuni ya unga kufua nguo. Lakini hivi sasa aina mpya ya mashine ya kufulia inayonunuliwa sana nchini China, imevunja kanuni hiyo, na inaweza kufua nguo kama kawaida bila kutumia sabuni ya unga.
  • Dawa za mitishamba ya kichina zinafanya kazi kubwa katika utaratibu mpya wa matibabu ya ushirikiano vijijini  2005/12/14
  Hivi karibuni naibu waziri wa afya Bw. She Jing kwenye mkutano wa utekelezaji wa kazi ya majaribio ya utaratibu mpya wa matibabu ya ushirikiano vijijini na dawa za mitishamba ya kichina vijijini alisema kuwa, kutumia dawa za mitishamba ya kichina, hasa kutumia teknolojia mwafaka ya dawa za mitishamba ya kichina yenye bei nafuu
  • Chanjo,silaha kali katika kinga na udhibiti wa magonjwa ya maambukizi 2005/11/02
  Kutumia chanjo kwa kinga na udhibiti wa magonjwa ya maambukizi kwa kutumia chanjo ni mafanikio makubwa waliyoyapata binadamu katika mapambano dhidi ya magonjwa ya maambukizi.
  zaidi>>
  sanaa za vitu vya matumizi ya kila siku