Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia

  • Vivutio vya Sichuan-wanyama Panda ambao ni alama ya Mkoa wa Sichuan
  • Vivutio vya Sichuan-wanyama Panda ambao ni alama ya Mkoa wa Sichuan
  • Utamaduni wa dini ya Kibuddha katika Mlima E Mei na Mlima Leshan
  • Sanxingdui yenye vitu vingi vya ajabu
  • Sanxingdui yenye vitu vingi vya ajabu
  • Kutembelea sehemu za peponi
  • Barua 1014
  • Barua 1007
  • Barua 0930
  • Barua 0923
  • Barua 0916
  • Wasikilizajji 30 wa Idhaa yetu ya Kiswahili wamepata ushindi kwenye chemsha bongo--"Tukutane Beijing 2008 kwenye Michezo ya Olimpiki"
  • Chemsha bongo kuhusu ujuzi wa Mkoa wa Guangxi(6)
  • Barua za wasikilizaji 0701
  • Chemsha bongo kuhusu ujuzi wa Mkoa wa Guangxi(5)Mji mdogo wa kale wa Huangyao na Mlima Gupo unaowavutia watalii
  • Chemsha bongo kuhusu ujuzi wa Mkoa wa Guangxi(4) -Mandhari nzuri ya bahari inayowavutia watu
  • Sehemu ya mpakani inayopendeza na yenye miujiza mkoani Guangxi, China
  • Maskani ya kima wenye vichwa vyenye manyoya meupe yaliyosimama ?2?
  • Mto unaopendeza waunganisha vivutio vyote vya mkoa wa Guangxi
  • Barua 0506
  • Zaidi>>
  • Kipindi maalum cha chemsha bongo kuhusu vivutio vya utalii vya "Mkoa wa Sichuan, maskani ya Panda" (3)
  •  2006/12/26
    Katika kipindi hiki maalum cha chemsha bongo kuhusu vivutio vya utalii vya "Mkoa wa Sichuan, Maskani ya Panda", leo tunawaletea makala ya tatu kuhusu utamaduni wa dini ya kibuddha.
  • Kipindi maalum cha chemsha bongo kuhusu vivutio vya utalii vya "Mkoa wa Sichuan, maskani ya Panda"
  •  2006/11/21
    Tukizungumzia Mkoa wa Sichuan, China, labda marafiki zetu wengi hawaujui, lakini kama tukitaja Panda, huenda watu wote wanaweza kufurahia wanyama hao wanaopendeza. Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi ya China ndio maskani ya wanyama Panda.
    Zaidi>>
  • Wasikilizaji wasifu matangazo ya CRI 91.9 FM Nairobi Kenya
  •  2006/07/18
    Tarehe 27 Februari mwaka huu, matangazo ya CRI 91.9 FM yalianzishwa rasmi huko Nairobi Kenya. Hiki ni kituo cha kwanza cha matangazo ya FM kilichoanzishwa na Radio China kimataifa katika nchi ya nje. Karibu nusu mwaka umepita tangu kituo hiki kianzishe matangazo yake kwenye wimbi la FM, kituo hiki kinaendeshwa vizuri na kimesifiwa kwa kauli moja na watu wa pande mbalimbali nchini Kenya. ?
  • Msomi wa India asema kuzinduliwa kwa reli ya Qinghai-Tibet kutaleta fursa za kibiashara kati ya China na India
  •  2006/07/04
    Reli ya Qinghai-Tibet yenye urefu wa kilomita 2,000 inayopita kwenye uwanda wa juu wa Qinghai-Tibet ambao ni uwanda wa juu wenye mwinuko mkubwa zaidi duniani imezinduliwa rasmi tarehe 1 Julai mwaka huu
  • Uhusiano kati ya China na Afrika waingia katika kipindi kipya
  •  2006/06/20
    Mwaka huu ni mwaka 50 tangu China na Afrika zianzishe uhusiano wa kibalozi. Je, urafiki na ushirikiano kati ya China na Afrika umeendelea vipi katika miaka hiyo 50? Ushirikiano wa namna hii umewaletea wananchi wa pande hizo mbili manufaa gani?
  • Umoja wa Mataifa watoa taarifa ikisema kuwa eneo la jangwa duniani kote linapanuka
  •  2005/06/17
        Umoja wa Mataifa tarehe 16 ulitoa taarifa ikisema kuwa, hali ya hewa inayobadilika kuwa joto imesababisha asilimia 41 ya ardhi ya ukame kote duniani inavia siku hadi siku, na eneo la jangwa kote duniani linapanuka siku hadi siku, na idadi kubwa ya watu watakabiliwa na matatizo ya maisha.
  • China imekuwa nchi inayozalisha maua kwa wingi kabisa duniani
  •  2005/05/19
    Mkutano wa pili wa baraza la wakuu wa wilaya zinazozalisha maua kwa wingi nchini China, yaani mkutano wa pili wa wakuu wa kampuni za maua wa China tarehe 18 ulifanyika huko Wuhan
    Zaidi>>
    Zaidi>>