Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
  • Mapishi ya nyama slesi ya nyama ya ng'ombe na kiazi
  •  2008/10/29
    Mahitaji: Nyama ya ng'ombe gramu 200, kiazi kimoja?pilipili boga moja na pilipili hoho kimoja, sukari kijiko kimoja, chumvi kijiko kimoja, mchuzi wa sosi vijiko viwili, wanga kijiko kimoja
  • Mapishi ya supu ya mboga
  •  2008/10/22
    Mahitaji: Kuku mmoja, uyoga gramu 20, paja la nyama ya nguruwe lililokaushwa gramu 20, nyanya moja, nyama ya nguruwe gramu 50, mboga gramu 50, wanga kijiko kimoja, chumvi kijiko kimoja
  • Mapishi ya nyama na pilipili boga na pilipili hoho
  •  2008/10/15
    Mahitaji: Nyama ya ng'ombe gramu 300, pilipili boga gramu 150, pilipili hoho gramu 150, vitunguu saumu gramu 10, mchuzi wa sosi vijiko viwili, wanga kijiko kimoja, sosi ya chaza vijiko viwili, chumvi kijiko kimoja, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja.
  • Mapishi ya slesi ya nyama ya nguruwe na uyoga
  •  2008/10/08
    Mahitaji: Nyama ya nguruwe gramu 200, uyoga gramu 100, nusu ya pilipili mboga, wanga nusu ya kijiko kimoja, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, ute wa yai moja, chumvi vijiko viwili, na tangawizi
  • Mapishi ya mifupa yenye nyama ya mbavuni mwa nguruwe yenye ladha ya pilipili hoho
  •  2008/09/24
    Mahitaji: mifupa yenye nyama ya mbavuni mwa nguruwe gramu 200, chumvi vijiko viwili, chembechembe za pilipili manga kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, sosi ya chaza vijiko viwili, vipande vya vitunguu maji, pilipili hoho gramu 10, vitunguu saumu na tangawizi
  • Mapishi ya nyama ya ng'ombe na ufuta
  •  2008/09/17
    Mahitaji: Nyama ya ng'ombe gramu 200, ufuta gramu 20, chumvi vijiko viwili, mchuzi wa sosi kijiko kimoja,mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, pilipili manga nyeusi kijiko kimoja, sosi ya chaza kijiko kimoja, vitunguu maji gramu 5
  • Mapishi ya vipapatiro vya kuku
  •  2008/09/10
    Mahitaji:  Vipapatiro vya kuku gramu 500, vitunguu gramu 100, figili gramu 100, pilipili hoho gramu 20, vitunguu saumu gramu 20, tangawizi gramu 15, cumin vijiko viwili, mchuzi wa sosi vijiko viwili, sukari vijiko viwili, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, chumvi kijiko kimoja, mafuta ya ufuta kijiko kimoja , chembechembe za pilipili manga kijiko kimoja
  • Mapishi ya korosho na mahindi
  •  2008/07/09
    Mahitaji: Korosho gramu 100, mahindi gramu 50, figiri gramu 80, chumvi kijiko kimoja, chembechembe za kukoleza ladha nusu ya kijiko.
  • Mapishi ya supu ya paja la bata na mwani
  •  2008/07/02
    Mahitaji: Mapaja mawili ya bata, mwani grami 20, mahindi gramu 50, maharagwe mabichi gramu 50, chumvi vijiko viwili
    Zaidi>>