Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2005-01-19 19:31:12    
Kukaanga maharage mabichi

cri

Mahitaji

Maharage mabichi gramu 500, nyama ya kusagwa gramu 300, chumvi gramu 4, mchuzi wa soya gramu5, mvinyo wa kupikia gramu 2.5, M.S.G gramu 1.5, sosi ya pilipili gramu 3.5, vitunguu maji gramu 5, tangawizi gramu 2.5, mafuta gramu 70, sukari gramu 1.

Njia

1. Osha maharage mabichi kasha yakaushe, kata vitunguu maji na tangawizi ziwe vipande vipande.

2. tia mafuta ndani ya sufuria na iliyojikoni, mpaka moshi utoke kwenye sufuria, tia sosi ya pilipili igeuzegeuze mpaka nyama ya kusagwa isiwe na unyevu, mimina mvinyo wa kupikia, mchuzi wa soya, vipande vya vitunguu maji na tangawizi, sukari na chumvi. Tia maharage mabichi na moto usiwe mkali ili kutokaanga maharage mabichi kupita kiasi, pika mpaka maharage mabichi yasiwe na unyevu, tia M.S.G, geuza na ipakue. Sasa iko tayari kuliwa.