Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2005-02-18 16:09:09    
AIDS (UKIMWI) 21

cri
Watu wenye virusi vya HIV

Mtu aliyeambukizwa virusi vya HIV katika kipindi cha mwanzoni haoni hali yoyote isiyo ya kawaida kutokana na virusi vichache mwilini na uwezo wa kinga unakuwa haujapungua. Mtu kama huyo ambaye ameambukizwa virusi lakini ugonjwa wenyewe haujaanza anaitwa mtu mwenye virusi vya Ukimwi.