Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2005-02-20 19:00:07    
Mwaka 2004 vijana wa China vijijini wapatao laki 8 wapata mafunzo ya kikazi

cri

    Mwaka jana vijana wa China vjijini wapatao zaidi ya laki 8 walipata mafunzo ya kikazi yaliyoandaliwa na idara husika za China.

    Mwaka jana idara husika za China zilianzisha vituo zaidi ya 200 vya utoaji wa mafunzo ya kikazi kwa vijana wakulima katika sehemu mbalimbali nchini China, baada ya kupata mafunzo kuhusu shughuli mbalimbali, vijana wa vijijini zaidi ya laki 5 walipata ajira zinazowafaa katika shughuli zisizo za kilimo. Wakati huo huo, serikali ya China imetekeleza "mradi wa mafunzo ya kisayansi na kiteknolojia ya kuwaadalia wakulima wa aina mpya" katika sehemu mbalimbali ili kuwasaidia vijana wakulima kuendeleza kilimo cha kisasa.