Kutokana na mwaliko wa serikali za Kenya, Jamhuri ya Kongo na Angola, naibu waziri mkuu wa China Bw. Zeng Peiyan tarehe 20 ameondoka Beijing na kwenda nchi hizo tatu kufanya ziara rasmi ya siku saba.
Katika ziara yake barani Afrika, Bw. Zeng Peiyan akiwa mheshimiwa wa kualikwa atahudhuria mkutano wa 23 wa baraza la UNEP ambao ni baraza la mazingira la mawaziri wa dunia.
|